Wanawake siku hizi mnajipaka nini husoni uso unakuwa kama yai? Au kama unataka kumwagika?

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Hivi wanawake mnajua kwamba mkijipaka hayo mnayojipaka kupitiliza mnapoteza kabisa maana.

Yani ni mayai sijui mnajimwagia..

Halafu unaposimama mbele ya watu kuhutubia. Mambo ya msingi kabisa kitaifa na umejipodoa yani uso umegeuka YAI...unafikiri unasikilizwa?

Hivi nyie wanawake mbona hamna akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…