Wanawake Singida wamshukuru Samia Kwa "Cha Asubuhi"

Wewe nawe ni mwanamke wa Singida?, Ili Tukuulize kama walichofanya hao wengine hakistahili?
 
Yeye aliwaambia wameng'aa kisa maji yapo ya kutosha sasa, nao wanamjibu wanafurahi sasa kupata cha asubuhi. Mkuu huoni kuwa ni pipa na mfukino, and to be sincere hii inaakisi tabia ya watanzania walio wengi.
 
Tuache usahalifu hizi taarifa za ndoa kuvunjika kisa wanawake kudamka kufuata maji si zipo Kila siku sasa watu wakitoa mrejesho hamtaki kusikia acheni dharau za kipumbavu.
was it necessary? Cha asubuhi ndio kinachovunja ndoa?
 
πŸ€£πŸ˜…πŸ€­πŸ˜ΉπŸ˜‚πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…