Wanawake Singida wamshukuru Samia Kwa "Cha Asubuhi"

Muache mmama aseme ... Sisi wanaume cha asubuhi tunaona kitamu ndio itakuwa wao.. 🤣🤣
 
Huyo hana hata lafdhi ya watu wa Singida, ni mjinga mmoja tu wa kutokea chato huko.
 
Yeye aliwaambia wameng'aa kisa maji yapo ya kutosha sasa, nao wanamjibu wanafurahi sasa kupata cha asubuhi. Mkuu huoni kuwa ni pipa na mfukino, and to be sincere hii inaakisi tabia ya watanzania walio wengi.

Naunga mkono hoja. Tazama zile komedi za watubaki ni mawazo ya ngono tu. Hovyo sana.
 
Eti watu km hawa ndo tunaambiwa wapewe elimu ya katiba kwa miaka 3 ndo katiba mpya ipatikane. Mimi Bandokitita nasema huyu hata akipewa miaka 💯 hajui chochote juu ya katiba mpya yeye mwili wake muda wote unawaza ngono tu.
Ahahahahahahaha Nimecheka sana!

Usisumbuke sana Braza, we kula bia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…