DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Dawa ya deni ni kulipa au ulivyosema akukopeshe ulimaanisha nini?kuna jamaa alinitongoza nikamuomba anikopeshe elf 30 nitamlipa mwisho wa mwezi akanipa eti mwisho wa mwezi akaanza kunidai kweli loh nilishangaa sana yaani
dawa ya kutongoza while umeoa?Dawa ya deni ni kulipa au ulivyosema akukopeshe ulimaanisha nini?
KUTONGOZWA 30,000/- na kugegedwa ni shilingi ngapi? Sema nijiandaendio
sio 30,000 ni laki tatu nilisahau sifuriKUTONGOZWA 30,000/- na kugegedwa ni shilingi ngapi? Sema nijiandae
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mimi nikikudai harafu ukaniambia kwamba unaenda kumwambia wife chanzo cha kukudai nakuongezea elf 30 zingine maana wife ni kichomi sijawahi kuona ukimwambia tu siku hiyo nakala nje.akinidai namwambia mkewe
Sawa, jibu kugegedwa shilingi ngapi?sio 30,000 ni laki tatu nilisahau sifuri
bure mpaka ufike kwenye kugegeda sio mchezoSawa, jibu kugegedwa shilingi ngapi?
ahahaa umeona eeh[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mimi nikikudai harafu ukaniambia kwamba unaenda kumwambia wife chanzo cha kukudai nakuongezea elf 30 zingine maana wife ni kichomi sijawahi kuona ukimwambia tu siku hiyo nakala nje.
Kama alikutongoza na akalipia kutongoza, si ingekubali..?!akinidai namwambia mkewe
[emoji15] [emoji15] [emoji15]akinidai namwambia mkewe
Unauza bei gani?kuna jamaa alinitongoza nikamuomba anikopeshe elf 30 nitamlipa mwisho wa mwezi akanipa eti mwisho wa mwezi akaanza kunidai kweli loh nilishangaa sana yaani
nini?Unauza bei gani?
hata yeye anamuona ,hata wewe[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mungu anakuona
kuna jamaa alinitongoza nikamuomba anikopeshe elf 30 nitamlipa mwisho wa mwezi akanipa eti mwisho wa mwezi akaanza kunidai kweli loh nilishangaa sana yaani