Wanawake sio watu wamchezo kabisa

Wanawake sio watu wamchezo kabisa

akinidai namwambia mkewe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mimi nikikudai harafu ukaniambia kwamba unaenda kumwambia wife chanzo cha kukudai nakuongezea elf 30 zingine maana wife ni kichomi sijawahi kuona ukimwambia tu siku hiyo nakala nje.
 
Wakati unamuomba si ulisema utarudisha? Iweje leo ujae povu namna hiyo hata hivyo hiyo laki ulimwambia afanyie matumiz yake madogo madogo sio umemlipa 10000 uliyokopa kwake NA YEYE HAPENDAGI UJINGA ndio maana kadai hela yake
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mimi nikikudai harafu ukaniambia kwamba unaenda kumwambia wife chanzo cha kukudai nakuongezea elf 30 zingine maana wife ni kichomi sijawahi kuona ukimwambia tu siku hiyo nakala nje.
ahahaa umeona eeh
 
Mlile tu, maana ulikopa kwa ahadi ya kulipa.
Kama na wewe hiyo hela uliyompa ulimkopesha pia, basi ikifika muda wa kukulipa mdai
 
Mademu wa kibongo wangese sana mm Ndio maana xnaga shobo nao njaa sana nikipiga leo ndio mwisho xtakiiii mazoea
 
Back
Top Bottom