Mungu niguse
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 272
- 729
Huwa nachukukizwa na tabia ya wanawake ya kujipikilisha unakuta mtu anapika wali na nyama masaa kibao mpaka unashangaa.
Hii tabia inaboa sana.
Hii tabia inaboa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kale kwa mama ntilieHuwa nachukukizwa na tabia ya wanawake ya kujipikilisha unakuta mtu anapika wali na nyama masaa kibao mpaka unashangaa .
Hii tabia inaboa Sana.
Wewe unatafuta kujibiwa vibaya na mkeo hapo nyumbani urudi humu kujaza server na kauli mbiu zenu za hovyo kama kataa ndoa.Mtu umetoka kazini eti anajifanya anapika masaa kibao chakula hakiivi
Hii ndo lengo Lao uroho unawasumbua SanaKuna wanawake Ni walafi alafu wachoyo hasa!
Acheni kujipikilishaEeeh kimekukuta nin?? Mkeo atakua hajaanza maandalizi mapema kama angeanza mapema bas ungekula Kwa wakat, ☺️
Imekatika kakaHuna mikono?
KumekuchaKuna wanawake Ni walafi alafu wachoyo hasa!
Acha kulaImekatika kaka
Basi hakuna haja ya kuacha bajeti yanguMwanaume unatakiwa ukirudi home uwe umeshiba unajazia tu kilichopo unachill