Wanawake tabia yenu ya kujipikilisha haifai

Wanawake tabia yenu ya kujipikilisha haifai

Mh! si tupo kwenye mfungo imekuwaje tena huko kwani mwezi umeandama wakati ndo kwanza chungu cha nne!!!
 

Attachments

  • 20250219_190349.jpg
    20250219_190349.jpg
    707.8 KB · Views: 1
Saa ingine hata huyo unayemlalamikia hajui kama umelalamika huku.
 
Unaonekana huna sauti humo ndani, mi wa kwangu alileta habari za kucheleweshs msosi nilimkoromea mpka leo hajarudia
 
Back
Top Bottom