Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Aiseee kumbe kuna shoga humu JF
Hakika nimeolewa na limbwata juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika nimeolewa na limbwata juu
HakikaAisee Kazi tuanyo sisi wanaume wa JF
Hakika kazi tunayo wanawake wa JF
Poaa Dada.Sasa kaka
Nimemaharage km toleo la 2.Mbona umemind kama na wewe ni mwanamke?
Andika kiswahili mi siyo mnyakyusa mwenzako sielewiNimemaharage km toleo la 2.
Sio shida zangu.Andika kiswahili mi siyo mnyakyusa mwenzako sielewi
Njaa hiiHuwa nachukukizwa na tabia ya wanawake ya kujipikilisha unakuta mtu anapika wali na nyama masaa kibao mpaka unashangaa.
Hii tabia inaboa sana.
Kwahiyo We ni toleo la pili?Sio shida zangu.
Ya kunawa?Huna mikono?
Kitimoto kipo wapi mboni hujaweka mkuu wa Meza? 😬
Ale maweYa kunawa?
Unakula na ndizi ama ugali ?Kitimoto kipo wapi mboni hujaweka mkuu wa Meza? 😬