Wanawake Tafuteni hela zenu, kizazi cha wanaume wahongaji kinaenda kufika tamati

Wanawake Tafuteni hela zenu, kizazi cha wanaume wahongaji kinaenda kufika tamati

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,818
Kama heading inavyosema hapo juu, Dada zangu tafuteni hela, yaan Vijana wa siku hizi ukiwa mzigo kwake umeachwa, utachezewa hadi uchakae na ndoa huioni ng'oo. Vijana siku hizi wakiombwa hela wanahisi km wanataka kuibiwa wanatoka nduki km wameona kirusi cha Corona, madada tafuten hela.

Wadada tafuten hela zenu, vigezo vya kudumu kwenye mahusiano vimeongezeka, heshima sawa ipo, lakin kuwa na hela zako tayari ni kigezo siku hizi. Mwanaume akidate nawewe akagundua hauna hela amini nakuambia hamfiki mbali utaachwa tu, sababu anajua amejitwisha furushi.

Wadada tafuteni hela zenu, hata kumpata mwanaume mwenye hela siku vijana nao wanaangalia je nawew una hela? Kama huna hela utakoma, utaombwa tigo, utapigwa stail zote huheshimiki, maana anakuona km amekuokota akulishe, au malaya tu mnabadilishana bidhaa yeye anakupa hela wew unampa papuchi.

Wadada tafuten hela zenu, Vikao na Vilio vya Vijana kulalamika kuombwa hela na wadada vinazidi kupanda kwa kasi ya ajabu, wanaogopwa kuombwa hela balaa, wapo tayari wazime simu au hata wakublock km unasumbua sana kuomba hela.

WADADA TAFUTEN HELA ZENU
 
Awa ndo vijana wazee wa UWABATA wameanzisha na group lao yani
IMG-20210128-WA0006.jpg
 
Haitokaa itokee.. Maandiko yalisha tuhukumu wanaume kula kwa jasho wanawake kuzaa kwa uchungu
Kama heading inavyosema hapo juu, Dada zangu tafuteni hela, yaan Vijana wa siku hizi ukiwa mzigo kwake umeachwa, utachezewa hadi uchakae na ndoa huioni ng'oo. Vijana siku hizi wakiombwa hela wanahisi km wanataka kuibiwa wanatoka nduki km wameona kirusi cha Corona, madada tafuten hela.
 
Me kuna demu wangu christmass mwaka jana aliniambia hanitak kwakuwa anataka ndoa na mm nikamwambia ndoa tutafunga ila nipe mda kdg mwaka 2021 haiwez isha ntakuwa nimekaa sawa. Akaniambia hawez kuwa na mm. Nikamjibu poa endelea na maisha yako. Sasa shida anazopata mungu ndo anajua anataka kurud kwangu huo mda tena sina alijua wanaume wote tunahonga sawa [emoji23][emoji23]

Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
 
Nimeenda sehem kula mchemsho wa kuku ..nimemaliza kula nikala na bia kadhaaa ile nataka kuondoka binti aliekua ananihudumia kaniletea karatasi ya hukum ( bill) nikalipa nataka kusepa huyo binti kaomba hela ya kula nikamuuliza unataka sh ngapi? Kasema buku tatu ...ohh nikasema ninsawa mi nakupa 2500 [emoji1] aisee huyu binti ame mind anasema nimpe yote nikamuuliza afya Ni Yangu au Ni yako? Nikamwambia hata Mia hupati apa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ujinga kama unaamua kumpa mtoto wa kike pesa basi usije anza kuumia na kutulilia lilia hovyo maskani kuhusu pesa zako!

Mimi nasapoti kabisa hakuna kutuma hela kwa mtu mwenye miguu na mikono 2 akafanye kazi aone pesa ivyo chungu mtaani.labda awe ni mtu asiyejiweza ndio ruksa kumpenda na kumsaidia na itoke moyoni.

Siwez gawa hela kizembe kizembe
 
Back
Top Bottom