Wanawake Tafuteni hela zenu, kizazi cha wanaume wahongaji kinaenda kufika tamati

Wanawake Tafuteni hela zenu, kizazi cha wanaume wahongaji kinaenda kufika tamati

Kadri wanawake na wanaharakati wanavyo jitahidi kupush hii ajenda yao ya 50/50 ndivyo wanaume nao wanazidi kupungua wamebakia wavulana.

Nashukuru ktk maisha yangu tokea nijihusishe na mapenzi sijawahi kuipigia hesabu hela ya mwanamke.
 
Nafurahia mada kama hizi sana!

Awareness imeanza kuja kwenye jamii miongoni mwa wanaume!

Rasilimali za familia zimekuwa zikitumika vibaya na malaya na wadangaji (michepuko).

Mjinga akijitambua mwerevu huwa mashakani!

Malaya , wadangaji, michepuko, concubines etc yatosha mlivyowaibia wanaume!

Ni wakati wa kutafuta shughuli yoyote ya halali ya kujipatia kipato halali hata kwa kujikimu tu.

Hongereni wanaume mloanza kujitambua Kwani mwisho wa mambo hayo ya uzinzi na uasherati ni upatilli mtupu na kujilisha upepo!
 
Wanaume kazeni hivyo ikibidi waleni bure wakome kiranga!

Pesa Ndiyo zilikuwa zikiwapa jeuri sana hadi kidharau wanawake wa ndoa wenyehaki ya kuhudumiwa!

Ila Halahala wanaume mjipange sivyo kiwango Cha kurogwa kitaongezeka!

Eti kwa mara ya kwanza kuna michepuko imekataliwa kulipiwa ada za Shule za watoto wao ?!
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] aisee
 
Ni kweli watafute hela wakileta njaa zao lazima waombwe tako,hawataki kutoa tako wasepe ,kuwa na demu maskini njaa njaa ni kujitafutia na wewe umaskini
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]inakera Sana

Unakuwa na manzi Kama yatima Bwana
 
Nimeenda sehem kula mchemsho wa kuku ..nimemaliza kula nikala na bia kadhaaa ile nataka kuondoka binti aliekua ananihudumia kaniletea karatasi ya hukum ( bill) nikalipa nataka kusepa huyo binti kaomba hela ya kula nikamuuliza unataka sh ngapi? Kasema buku tatu ...ohh nikasema ninsawa mi nakupa 2500 [emoji1] aisee huyu binti ame mind anasema nimpe yote nikamuuliza afya Ni Yangu au Ni yako? Nikamwambia hata Mia hupati apa

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16] analazimisha !?
 
Anakuombaje kibabe hivyo kama hamna mazoea na wewe
 
Kuna hela naiskilizia
JamiiForums-1090797685.jpg
 
Haitokaa itokee.. Maandiko yalisha tuhukumu wanaume kula kwa jasho wanawake kuzaa kwa uchungu

Mnayakumbuka maandiko kwenye kitonga tu, tafuteni hela zenu acheni kushupaza shingo... mwenye masikio na asikie.
 
Back
Top Bottom