Brigadier Isaac
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 495
- 1,436
[emoji23][emoji1787][emoji1787]Awa ndo vijana wazee wa UWABATA wameanzisha na group lao yaniView attachment 1695580
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji1787][emoji1787]Awa ndo vijana wazee wa UWABATA wameanzisha na group lao yaniView attachment 1695580
Ni chombo cha stareheSiku hizi wanaume ndo mmekuwa,
wambea
kwenye wivu
waongeaji?
sijui hata nafasi ya mwanamke kwenye jamii ni ipi?
Na kwann usubiri uombwe?Amna kitu na hate kama kuombana ombana hela
Hawana hela ndo maana wanaongea snHizi mada zinakera si tushaelewana watupe pesa
Mange Ni advocate wa udangaji .
Nyie si mnataka mpate 60/40 haya sasa [emoji1787][emoji1787]Siku hizi wanaume ndo mmekuwa,
wambea
kwenye wivu
waongeaji?
sijui hata nafasi ya mwanamke kwenye jamii ni ipi?
Hakuna anayeipigia hesabu hela za mwakamke .Kadri wanawake na wanaharakati wanavyo jitahidi kupush hii ajenda yao ya 50/50 ndivyo wanaume nao wanazidi kupungua wamebakia wavulana.
Nashukuru ktk maisha yangu tokea nijihusishe na mapenzi sijawahi kuipigia hesabu hela ya mwanamke.