Wanawake Tafuteni hela zenu, kizazi cha wanaume wahongaji kinaenda kufika tamati

-
 
Amna kitu na hate kama kuombana ombana hela
 
Wanaume tunapenda sana kuhudumia ila tatizo dada zetu wamegeuka kuwa matapeli mimi nimeamua kukomaa na hawa wa short time
 
Siku hizi wanaume ndo mmekuwa,
wambea
kwenye wivu
waongeaji?

sijui hata nafasi ya mwanamke kwenye jamii ni ipi?
Nafasi ya mwanaume mmeivuruga wenyewe, mnataka mfanane na mwanaume siku hz mnapambana muwe sawa na Wanaume, nafasi ya wanaume zaman ilikuwa inaonekana kwasababu mwanamke alikubali kuwa mwanamke.. kwa hii hali ya sasa huko mbele hali itakuwa mbaya sana
 
Hivi wadada wa hivi wapo kweli ? Aisee Au ulimzoesha ukienda hapo lazima umpe chochote mtu anaombaje hela ghafla hivyo?
 
Tatizo vijana hatuna pesa sio kwamba hatupendi kuhonga !tunapenda Sana ila mifuko mitupu ndio maana kila siku tunakuja na visababu uchwara Kama vya mtoa mada.Na kwa style hii vibabu vitatutombea Sana mademu zetu
Tutafute pesa vijana wenzangu
 
Kuhonga sio ni chanzo cha umasikini kwa vijana Wengi ila wanaoathirika Wengi ni wakiume, bali kuna wanawake wanahonga pia, na mwisho wa siku matokeo ni umasikini na kulalamika, Ni vizuri kuhakikisha unatumia pesa yako kwa kufanya uwekezaji.
 
jamii forum imefanya niwe jeuri mno mtaanii washikaji nawambia manzi yang anaitwa jamii forum hajui tabia za tuma na ya kutolea í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…