joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]inakera SanaNi kweli watafute hela wakileta njaa zao lazima waombwe tako,hawataki kutoa tako wasepe ,kuwa na demu maskini njaa njaa ni kujitafutia na wewe umaskini
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Awa ndo vijana wazee wa UWABATA wameanzisha na group lao yaniView attachment 1695580
[emoji16][emoji16][emoji16] analazimisha !?Nimeenda sehem kula mchemsho wa kuku ..nimemaliza kula nikala na bia kadhaaa ile nataka kuondoka binti aliekua ananihudumia kaniletea karatasi ya hukum ( bill) nikalipa nataka kusepa huyo binti kaomba hela ya kula nikamuuliza unataka sh ngapi? Kasema buku tatu ...ohh nikasema ninsawa mi nakupa 2500 [emoji1] aisee huyu binti ame mind anasema nimpe yote nikamuuliza afya Ni Yangu au Ni yako? Nikamwambia hata Mia hupati apa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16]Kwanza hujui hata kuandika eti mbeba rawama. Ni lawama
Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16]Kwan hamtaki haki sawa tena jaman [emoji23][emoji23]
Na bado hadi mtoke damu.
Hata Yatima hadeki, hawa ni case tofauti kabisa, nasema uongo ndugu zangu[emoji112][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]inakera Sana
Unakuwa na manzi Kama yatima Bwana
Hayo maandiko ni ya kwako ..siku hizi kuna maandiko mengineHaitokaa itokee.. Maandiko yalisha tuhukumu wanaume kula kwa jasho wanawake kuzaa kwa uchungu
Anakuombaje kibabe hivyo kama hamna mazoea na weweNimeenda sehem kula mchemsho wa kuku ..nimemaliza kula nikala na bia kadhaaa ile nataka kuondoka binti aliekua ananihudumia kaniletea karatasi ya hukum ( bill) nikalipa nataka kusepa huyo binti kaomba hela ya kula nikamuuliza unataka sh ngapi? Kasema buku tatu ...ohh nikasema ninsawa mi nakupa 2500 [emoji1] aisee huyu binti ame mind anasema nimpe yote nikamuuliza afya Ni Yangu au Ni yako? Nikamwambia hata Mia hupati apa
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi, hawa wana special caseHata Yatima hadeki, hawa ni case tofauti kabisa, nasema uongo ndugu zangu[emoji112]
Huu umoja unakua kwa kas sana, wana hadi group WhatsApp naonaga link inazunguka zungukaKuna hela naiskiliziaView attachment 1696506
Haitokaa itokee.. Maandiko yalisha tuhukumu wanaume kula kwa jasho wanawake kuzaa kwa uchungu
[emoji3][emoji3][emoji3]