Wanawake Tafuteni hela zenu, kizazi cha wanaume wahongaji kinaenda kufika tamati

Dada wa taifa kaizungumzia sana hii mada...
View attachment 1695594View attachment 1695595
Mange Ni advocate wa udangaji .

Pamoja na babake kuwa na mapesa still she was fvcked for them coins .

Disgusting aisee

Juzi Kati anamfacilitaje hamisa ana mbweto na Rick Ross.[emoji1]

Way back alimponda mama manunu kwamba analiwa na akina Idris choka mbaya[emoji1].

Huyu mtu ndio maana wabongo walimgomea kuingia mtaani keyboard warrior[emoji1787]

By the way sijawahi mchukia kweli na sijawahi mpenda [emoji1787]
 
Kadri wanawake na wanaharakati wanavyo jitahidi kupush hii ajenda yao ya 50/50 ndivyo wanaume nao wanazidi kupungua wamebakia wavulana.

Nashukuru ktk maisha yangu tokea nijihusishe na mapenzi sijawahi kuipigia hesabu hela ya mwanamke.
Hakuna anayeipigia hesabu hela za mwakamke .

Ila wadau wanajaribu kutoka kwenye mazoea maana bidii za kudai 50/50 zimepamba Moto .[emoji1787]

Its about "what u have to offer rather than sex..."[emoji1787]

Hapo ndio mtihani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…