Wanawake tafuteni hela zenu ni raha sana

Kweli ukiwa na hela yako full confidence no stress hata na umalaya unaisha kabisa. Nashauri wanawake tutafte hela zetu Ili tuwe na amani Mimi binafsi nachukia kuomba omba, sio una shida una omba mtu hela badala akupe msaada anataka akulale
Unataka kunambia cariha ukiwa na hela unakuwa na kinyaa na mb.oo?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kweli ukiwa na hela yako full confidence no stress hata na umalaya unaisha kabisa. Nashauri wanawake tutafte hela zetu Ili tuwe na amani Mimi binafsi nachukia kuomba omba, sio una shida una omba mtu hela badala akupe msaada anataka akulale
Women love money while Men love sex..
It's just a matter of makubaliano ya kupeana
 
Na mkumbishane pesa haitafutwi ili kushindana wanaume...


Hela itakupa freedom ya kuwa kwenye mahusiano sahihi uliyoridhia,hela itakufanya ufanye unachotaka kwa uhuru bila kuaumbuana na mtu...

Sasa msihamasishane kutafuta hela ili muwe malimbukeni kwenye mahusiano.Mi mwanaume hanifanyi chochote,sina shida nina uweZo wa kujilisha na kujivisha jmn huo ni ulimbukeni na ushamba.Be humble sababu kuna wenye nyingi zaidi yako na wanaheshimu mahusiano.
 
Hayo mambo tuwaache wazungu,hawa dada zetu Bado wapo kwenye wimbi la ulimbukeni...

Yaaani unatafuta pesa ili umkomeshe/kumtambia mwanaume???....pesa itafute ili ikufanye kua huru kwenye maamuzi yako hasa kwenye mahusiano

Note: umeongea fact sana mkuu
 
Watapata wapi mtaji bila ss kuwapa.
 
Hakikisha umenipa namba ya simu kuna hela nataka unipe ili nikupe
 
Nipo na kazi na kipato changu kizuri tu,lakini still napata huduma zote kutoka kwa babe,yaani kipato changu hakimuhusu,lazima anispoil,huwa najihudumia nikiwa single,wanaume Wana ego always wanataka kuonesha uanamme wao, so kwenye swala la pesa nawaachiaga asilimia mia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…