TheOnlySurvivor
Senior Member
- Oct 7, 2019
- 109
- 277
Una maana wadau licha ya kuandika vitu vyavmaana ila ID zao ni mbaya au hazikuvutii?Hauwezi kuwaweka watu wanaoandika vitu vya kujenga/vizuri pamoja na watu ambao ID zao ni nzuri.
Ni mashariki na magharibi.
Cheki na moderatorKutumia majina magumu sio sifa. Nipeni Mbinu ya kubadilisha ID .Nataka nijihite Big Penis
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]
Piga kelele kwa Controla akeee weweeee (in Lavalava's+ Meja Kunta's voice)
🤣🤣🤣🤣🤣 kucheka hiyo kwiyoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah hiyo nyimbo huwa nacheka pale mwishoni wanavyopokezana kuimba huku wanabana pua eti
Unantaka kwiyo?
Una hela kwiyo?
Eti una dola kwiyo?
Nenda kalale kwiyo?
Kwiyo hiyo hiyo kwiyo?
Kwiyo hiyo kwema kwiyo?
Piga kelele kwa kwiyo akee weweee [emoji1787][emoji1787]
Karma
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kucheka hiyo kwiyoooo
Mimi mzima, mikandimizo inaendeleaNiko poa kabisa shem, sijui weye?
HAHAHA; NA MIMI NILIKUWA NASUBILI UMTAJE, NIWALETEE TIMBWILI.
Safi saana aisee.Mimi naipenda avatar yako pamoja na id yako sababu kwanza kabisa namkubali Che Guevara,, pili nina rafiki yangu wa kiume tumezoea kumuita SK ikiwa na maana ya initials za majina yake halisi..
Karma
Nitaje mimi basi, maana wengine tumesahaurikaJina babe wangu sijaliona mpaka sasa.