Wanawake toeni ushirikiano mzuri kwa Madaktari wanafunzi wanapokuwa mafunzoni

Wanawake toeni ushirikiano mzuri kwa Madaktari wanafunzi wanapokuwa mafunzoni

Mkiwa RCH mnajionaga wajanja.

Kikifika kipindi Cha kujifungua uchungu ukikazana mnawalilia hata hao wanafunzi wawasaidie msife
 
Wanawake wenzenu wanawaonea kinyaa na muda mwingine wanawanasaga mpaka vibao mkianza kulia Lia labour
 
Mpo labour, mwanafunzi anataka kujifunza namna ya Ku PV unakataa
unafikiri kwa mwendo huo vifo vya wamama wajawazito vitapungua?
Mnagements za labour zinahitaji umakini wa Hali ya juu na suala la ku PV haliepukiki
Yaani hapa ndio unathibitisha ulivyo na akili mbovu kabisa.

Yaani unaona nisawa kwa mwanafunzi kujifunza kwa kuchezea uhai wa mama na mtoto..🤔🤔
 
Ethics inasema hivyo ila kiuhalisia wanakosea
Wakati Mwingine unakuta Wanafunzi wanafika hadi kumi.
Wote hao waone sehemu nyeti sio sawa.

Na kawaida ya wanafunzi wengi hawana maadali, wakitoka hapo wataenda kujadili hata yasiyotakiwa.

Na kumbuka Wanafunzi hawajala kiapo chan Kutunza siri za mgonjwa. Kwahiyo ni sawa kabisa.
 
Yaani hapa ndio unathibitisha ulivyo na akili mbovu kabisa.....
Yaani unaona nisawa kwa mwanafunzi kujifunza kwa kuchezea uhai wa mama na mtoto..🤔🤔
Unajua hata Ku PV maana yake Nini? unajua lengo lake Nini kuipafom?
Unajua faida na hasara ya kutojua Ku PV?
 
Mkiwa RCH mnajionaga wajanjaaa
Kikifika kipindi Cha kujifungua uchungu ukikazana mnawalilia hata hao wanafunzi wawasaidie msife
Hakuna hizi mambo aiseeee.

Kwanza kabla ya wanafunzi kuna intern ambao tayari walisha pitia hapo ulipo wewe, tena wanafanya vizuri tu ukiacha madaktari pamoja manesi
 
Wakati Mwingine unakuta Wanafunzi wanafika hadi kumi.
Wote hao waone sehemu nyeti sio sawa.

Na kawaida ya wanafunzi wengi hawana maadali, wakitoka hapo wataenda kujadili hata yasiyotakiwa.

Na kumbuka Wanafunzi hawajala kiapo chan Kutunza siri za mgonjwa. Kwahiyo ni sawa kabisa.
Sio kweli
 
Mkiwa RCH mnajionaga wajanjaaa
Kikifika kipindi Cha kujifungua uchungu ukikazana mnawalilia hata hao wanafunzi wawasaidie msife
We kijana nenda ukasome, unachokifanya hapa nikuabisha wanafunzi wenzako.

Kwahiyo umeamua kuja kuwachamba wagonjwa humu?
Na wewe unataka baadae uwe daktari?

Fani imeingiliwa hii
 
Hakuna hizi mambo aiseeee.....
Kwanza kabla ya wanafunzi kuna intern ambao tayari walisha pitia hapo ulipo wewe, tena wanafanya vizuri tu ukiacha madaktari pamoja manesi
Sehemu nyingi kuna uhaba wa madaktari.

Muda mwingine muda wa kujifungua unafika ,manesi wapo kwenye kikao.

Anakuja nesi mmoja na Hana msaidizi zaidi ya wanafunzi
 
Unajua hata Ku PV maana yake Nini? unajua lengo lake Nini kuipafom?
Unajua faida na hasara ya kutojua Ku PV?
Kijana ebu usione kama unajadili mambo ya uhai na wanafunzi wenzio. Hizo PV performance mnatakiwa mzifanye kwenye midoli.

By the way sina haja ya kujua unayo paswa ama usiyo paswa kuperform.
 
Sehemu nyingi kuna uhaba wa madaktari.

Muda mwingine muda wa kujifungua unafika ,manesi wapo kwenye kikao.

Anakuja nesi mmoja na Hana msaidizi zaidi ya wanafunzi
Kwahiyo kabisa na akilizako timamu unaona hizo ulizo ziweka ni sababu za msingi kabisaaaaa...😕

Yaani mama anajifungua wakati wahudumu wapo kwenye vikao hilo ni kosa na kumuacha mwanafunzi amsaidie mama anaejifungua hilo ni kosa lingine.

Lakini pia nikuelimishe tu kwamba sera ya mama mjamzito ni no deth kwa mama na mtoto, hivyo ni kosa la jinai kwa madarkari na wauguzi kufanya kikao wakati wakijua kuna mama anahitaji huduma yao ili ajifungue.
 
mwingine hata kufanyiwa per abdomen examination hataki ,utasikia mara ooh tumbo langu halishikwi na wanafunzi ,halafu kesho mwanafunzi huyo huyo ukimkuta Kawa daktari unalaumu kwamba hayuko competent enough
Bado kuna watu wanaenda hospital hizi za vilaza?

Siku hizi kila mtu daktari anaingia google anaandika dalili zote za tatizo lake analetewa possible ya ugonjwa unaomsumbua kisha ana google tiba anamalizia kazi kununua dawa pharmacy.
 
Mwingine anaambiwa avue sidiria ili mwanafunzi aweze kufanya examination vizuri utakuta eti mgonjwa anagoma.

Sasa mtu atafanyaje respiratory system vizuri kama hutaki kuchojoa sidiria?
Unawaza kuangalia sehemu za siri za wagonjwa na sio vinginevyo
 
Wakati Mwingine unakuta Wanafunzi wanafika hadi kumi.
Wote hao waone sehemu nyeti sio sawa.

Na kawaida ya wanafunzi wengi hawana maadali, wakitoka hapo wataenda kujadili hata yasiyotakiwa.

Na kumbuka Wanafunzi hawajala kiapo chan Kutunza siri za mgonjwa. Kwahiyo ni sawa kabisa.
baadhi ya cases huwa ni rarely sana kuziona so zikitokea lazima wote mkimbilie mkazione jinsi ya kuzi manage.
 
Kijana ebu usione kama unajadili mambo ya uhai na wanafunzi wenzio. Hizo PV performance mnatakiwa mzifanye kwenye midoli.

By the way sina haja ya kujua unayo paswa ama usiyo paswa kuperform.
🤣🤣🤣🤣 una pv vipi kwenye mdoli?
 
Back
Top Bottom