sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Nimeuvaa uhalisia nikiwa kama mwanaume, siwezi kuwaongelea wanawake na ni kosa kubwa sana wanaume huwa tunaji mwanbafai tunapokadiria mwanamke anachotaka, anachofikiria, anachopenda, hisia zake, n.k. huwezi kuuvaa uhalisia wa mwanamke wakati wewe ni mwanaume.
Kwangu mimi nikikijua kwamba mwanamke (mke / girlfriend / sidechiclk) kanisaliti kwa kutembea na mwanaume mwengine, kitu cha kwanza kitachoniuma ni kwamba kuna mwanaume mwengine ameweza kuupachika uume wake kwa mwanamke wangu.... mawazo ambayo ntakuwa ninayo kwa kiasi kikubwa yatalenga kwamba huyo mwanaume kanizidi ufundi, kanizidi nguvu za kiume, ana size ambayo mwanamke wangu kaipenda, n.k nmawazo yangu yatajikita zaidi kwenye ngono kuzidi kwenye mapenzi kwamba mwanaume huyo alimpenda sana kuzidi mimi, alimjali kuzidi mimi, alikuwa msikuvu kuzidi mimi, alikuwa mchshi kuzidi mimi n.k
Sasa nilikuwa naombeni wanawake wa humu ndani mtujuze nyie kwenu ni kitu gani huwa kinawauma mnapogundua mwanaume wako ka cheat na mwanamke mwengine?
Wanaume naombeni tusiwakadirie majibu wanawake maana sisi sio wanawake, tuwaache wazungumze wenyewe, cha kuchangia sisi labda ni kuwauliza maswali tu