Wanawake tu

Labda demi ataweza kunifunda gubegube mie.
Ila kama ndoa ndio ziko hivi, acha nibaki kuwa mlupo.
Nilichoka uhawara, nikasema kajitokeza mtu, tena wa Jf ambae anajua mikiki yangu ya jukwaani huenda atanivumilia na kuona kama kawaida...kumbe ndo natoka kwenye afadhali...nakimbilia kwenye potelea mbali.

manengelo huwezi amini, mwili ninao mimi ila ratiba ya mwili wangu anaipanga mtu mwingine.
Napangiwa wa kuongea nao
Napangiwa mada za kuchangia
Napangiwa nguo za kuvaa
Napangiwa vyakula na vinywaji gani nitumie
Napangiwa jinsi ya kuongea
Napangiwa mpaka moyo wangu uwe na nani kirafiki...hapana.
Halafu mbaya zaidi nikaambiwa nijiunge na makanisa ya kiroho.
Mimi Mkatoliki safi...hayo ya akina Mwamposa nayawezea wapi?

Nimerudi zangu kwa hawara yangu.
Niko tuliiiii.....mpaka muda huu nachati bila wasiwasi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Shunie njoo umchukue huyu mtu saidizana na Mzigua90 !khaa ww madame bwana ww haupo sawa..yaan nalia hapaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Shunie njoo umchukue huyu mtu saidizana na Mzigua90 !khaa ww madame bwana ww haupo sawa..yaan nalia hapaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
We acha tu.
Nikawa nakumbuka mwenyewe unavyompa kiki jukwaani.
Nikasema angejua watu tushashoneana sanda asubuhi tu...kajisemea Mau Kitenge...asubuhi tu...kila mtu kalalia kwake
 
We acha tu.
Nikawa nakumbuka mwenyewe unavyompa kiki jukwaani.
Nikasema angejua watu tushashoneana sanda asubuhi tu...kajisemea Mau Kitenge...asubuhi tu...kila mtu kalalia kwake

πŸ˜‚πŸ˜‚mimi nilianza mfatilia he is soo charming..mpole lakini mwenye ukomedi sana ndani yake...πŸ˜‚πŸ˜‚ ndo maana tunaambiwa hatuelewekagi tunatakaga nnπŸ˜›
 
Utapewa nyama wiki nzima, mwezi ujao zamu yako kutoa nyama
 
πŸ˜‚πŸ˜‚mimi nilianza mfatilia he is soo charming..mpole lakini mwenye ukomedi sana ndani yake...πŸ˜‚πŸ˜‚ ndo maana tunaambiwa hatuelewekagi tunatakaga nnπŸ˜›
Hahahhaha
Akale alikopeleka mboga sasa
 
duuh waende tena kudowea kwa jirani nyama na soda?
Aisee si kutaka wanawake wenyewe waamie kwa jirani

maana jirani kama alikuwa anakutamani hapo itakuwa ni sawa na kurusha mahindi toka nje kuelekea chumbani ili kuku akamatwe kiurahisi
 
Mnafundishana uharamia eeeh.
huyu mwanamke ni hatari sana kwa afya ya wanaume wote wanoajielewa

Hivi kuna kufundishana madhambi kabisa eeee

mimi nashauri ni bora umpigie kelele mumeo kuwa maharage sio mazuri kila siku achukie lakini sio kwenda kula kwa jirani vingine

tujaribu kufikiria na madhara ya kula kwa jirani pia

Nawakilisha tu ila siafiki na ujumbe wa mleta mada
 
pole!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…