Wanawake tuache kushika simu za waume zetu

Ndio maana inaitwa simu ya mkononi kile ni kifaa cha matumizi yake binafsi sio matumizi ya familia.

Na unapekua simu ya mmeo ili ugundue nini? Ili iweje? Wanawake wengine bana!

Umbea tu na wivu ndio vinawasumbua.
Lazima nishike tu
 
Kama unaempenda si rahisi utapretend tuu Ila utashika afu Sasa mwanaume Malaya Waweza kagua simu usipate kitu,chochote kwenye Gari Ana kiswaswadu kina line yake spesho kwa micheps...
 
Basi wewe utakuwa unahitaji kufundwa maana ya ndoa. Ndoa inapaswa ikufanye uache baadhi ya mazoea hata kama yakoje kwako.
 
Basi wewe utakuwa unahitaji kufundwa maana ya ndoa. Ndoa inapaswa ikufanye uache baadhi ya mazoea hata kama yakoje kwako.

Nifundwe ili niwe nnapekua simu ya wife ama?
Sijui kama umeelewa nilichoandika.
Yote Kwa yote, simu ni kitu binafsi, huo ndio utaratibu wangu
 
Ndio maana inaitwa simu ya mkononi kile ni kifaa cha matumizi yake binafsi sio matumizi ya familia.

Na unapekua simu ya mmeo ili ugundue nini? Ili iweje? Wanawake wengine bana!

Umbea tu na wivu ndio vinawasumbua.
We Mwanamke utashuhudia Christmas nyingi sana hapa Duniani.,,,na utaviona hadi vizazi vya wajukuu zako...

Nyie wengine fanyeni itakavyowapendeza....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…