Wanawake tuache kushika simu za waume zetu

Wanawake tuache kushika simu za waume zetu

Ndio maana inaitwa simu ya mkononi kile ni kifaa cha matumizi yake binafsi sio matumizi ya familia.

Na unapekua simu ya mmeo ili ugundue nini? Ili iweje? Wanawake wengine bana!

Umbea tu na wivu ndio vinawasumbua.
Lazima nishike tu
 
Kama unaempenda si rahisi utapretend tuu Ila utashika afu Sasa mwanaume Malaya Waweza kagua simu usipate kitu,chochote kwenye Gari Ana kiswaswadu kina line yake spesho kwa micheps...
 
Shida watu tukisema privacy watu wanawaza mambo ya mahusiano pekee.

Simu yangu ni yangu kama ambavyo siwezi kukagua au kuhangaika na simu ya mwenza wangu sio Kwa sababu nataka kujua mambo yake, ila kumheshimu faragha yake.

Nani kawadanganya usafi wa simu ndio usafi wa mtu? Unaweza kubaki na simu yangu siku nzima na usiambulie chochote wakati huohuo nakupigia matukio.

Simu Kuna vitu naongea au kuwasiliana na ndugu zangu, marafiki zangu, Kuna utani mle Sasa nnavyohusiana na wote hao Kila mmoja Kuna namna yake. Wewe usiyeelewa ukiishika unaweza kuwahishwa Mirembe au Mochwari.

Siwezi kagua simu ya mwenza wangu, akinionyesha jambo ntaangalia hiyo sehem na kurudisha. Hiyo ni simu yake Ina mambo yake. Ilimradi mie nnapata stahiki yangu ya upendo kutoka kwake inatosha.

Basi wewe utakuwa unahitaji kufundwa maana ya ndoa. Ndoa inapaswa ikufanye uache baadhi ya mazoea hata kama yakoje kwako.
 
Basi wewe utakuwa unahitaji kufundwa maana ya ndoa. Ndoa inapaswa ikufanye uache baadhi ya mazoea hata kama yakoje kwako.

Nifundwe ili niwe nnapekua simu ya wife ama?
Sijui kama umeelewa nilichoandika.
Yote Kwa yote, simu ni kitu binafsi, huo ndio utaratibu wangu
 
Ndio maana inaitwa simu ya mkononi kile ni kifaa cha matumizi yake binafsi sio matumizi ya familia.

Na unapekua simu ya mmeo ili ugundue nini? Ili iweje? Wanawake wengine bana!

Umbea tu na wivu ndio vinawasumbua.
We Mwanamke utashuhudia Christmas nyingi sana hapa Duniani.,,,na utaviona hadi vizazi vya wajukuu zako...

Nyie wengine fanyeni itakavyowapendeza....
 
Back
Top Bottom