Best Tanzania
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 483
- 688
Bora uwaambie hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima nishike tuNdio maana inaitwa simu ya mkononi kile ni kifaa cha matumizi yake binafsi sio matumizi ya familia.
Na unapekua simu ya mmeo ili ugundue nini? Ili iweje? Wanawake wengine bana!
Umbea tu na wivu ndio vinawasumbua.
Si ndo hapo tinaachajeHatuachi
Cm nashika nakagua na simuachiKama hauko tayari kumuacha kaa mbali na simu yake
Utakuja kupigwa risasi saba weweHatuachi
Wee kweli taliban.Cm nashika nakagua na simuachi
Maisha gani hayo yakuwindana mpaka saa saba usikuPole mwaya. Japo Mie kila nikijaribu siwezi aisee.
Yaani nipo radhi hata saa saba usiku akiwa anakoroma basi mie nitaamka niipekue. 😅
[emoji1787][emoji1787]Utakuja kupigwa risasi saba wewe
Ndio anapo elekeaa[emoji1787][emoji1787]
Ndo niliyoyachagua.Maisha gani hayo yakuwindana mpaka saa saba usiku
Ila nimejifunza kitu wanawake wanapenda kumilikiwa bwanaNdo niliyoyachagua.
Hongera sana Kwahilo mjomba!!Mie yangu namuachia mtu yoyote aisee
Mie yangu hata wewe shangazi nakuachia tu 😆😆😆😆 hutokuzana na mauza uza yoyoteHongera sana Kwahilo mjomba!!
Shida watu tukisema privacy watu wanawaza mambo ya mahusiano pekee.
Simu yangu ni yangu kama ambavyo siwezi kukagua au kuhangaika na simu ya mwenza wangu sio Kwa sababu nataka kujua mambo yake, ila kumheshimu faragha yake.
Nani kawadanganya usafi wa simu ndio usafi wa mtu? Unaweza kubaki na simu yangu siku nzima na usiambulie chochote wakati huohuo nakupigia matukio.
Simu Kuna vitu naongea au kuwasiliana na ndugu zangu, marafiki zangu, Kuna utani mle Sasa nnavyohusiana na wote hao Kila mmoja Kuna namna yake. Wewe usiyeelewa ukiishika unaweza kuwahishwa Mirembe au Mochwari.
Siwezi kagua simu ya mwenza wangu, akinionyesha jambo ntaangalia hiyo sehem na kurudisha. Hiyo ni simu yake Ina mambo yake. Ilimradi mie nnapata stahiki yangu ya upendo kutoka kwake inatosha.
Si kushika tu; kuikagua on a daily basis. Ikibidi iachwe nikae nayo hata wiki ama wiki 2. Kwa nini men hawaishi kwa jina wanayoitwa GENTLEMEN? Au wanataka tuwaite BRUTALMEN?Lazima nishike tu
Basi wewe utakuwa unahitaji kufundwa maana ya ndoa. Ndoa inapaswa ikufanye uache baadhi ya mazoea hata kama yakoje kwako.
We Mwanamke utashuhudia Christmas nyingi sana hapa Duniani.,,,na utaviona hadi vizazi vya wajukuu zako...Ndio maana inaitwa simu ya mkononi kile ni kifaa cha matumizi yake binafsi sio matumizi ya familia.
Na unapekua simu ya mmeo ili ugundue nini? Ili iweje? Wanawake wengine bana!
Umbea tu na wivu ndio vinawasumbua.