Wanawake tujitahidi tuwape waume zetu mambo matamu kama tuliyokuwa tunawapa kabla hawajatuoa

Hivi unaanzaje kumnyima mmeo utamu?
Kitambi uote wewe maringo ulete wewe,wakati mchepuko anasubiri kwa ukaribu.Mchoshe huyo mbaba akienda huko anakuwa mchovu
 
Hivi unaanzaje kumnyima mmeo utamu?
Kitambi uote wewe maringo ulete wewe,wakati mchepuko anasubiri kwa ukaribu.Mchoshe huyo mbaba akienda huko anakuwa mchovu

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Kwa hiyo wewe huwa unamchosha mbaba wako eeh??? ili akienda huko uchepukoni awe mchovu???
Daah, I wish I could be that lucky mbaba of yours, ili unichosheeeeeeee [emoji41]
 
Hahaa mnatupa kifo cha kokroch,kwichikwichii mwaka mzima style hiyo,lazma niongezee wenzako wawili wakusaidie wewe lea familia
 
Mkuu vipi wewe je unakumbuka kuutimiza huu wajibu lakini???
Vipi dawasco bado unayo??
Kama umechoka kidogo tu hata kichwa??? [emoji2][emoji2]
Je bado unakula lollipop na naniliu zake kama huna akili nzuri?? [emoji41]
Unaongea na Mimi unaongea na simu???
 
Kifo cha mende
Napenda sana kifo cha mende kuliko staili yoyote ile. Mke wangu na michepuko yangu yote huwa natumia kifo cha mende. uzuri wa kifo cha mende ni kuwa, kifo cha mende ni staili pekee ambayo inaruhusu mbo....iingie yooote na kama kungekuwa na uwezekano, hata mapumb.... yangeweza kuingia. pia kifo cha mende huwezesha wahusika wote wawili ktk mechi muweze kuonana na zile gestures za kimapenzi zionekane live. kifo cha mende pia huwawezesha wadau wa gemu kuweza kukumbatiana na kupeana joto na hivyo kuongeza uwezo wa kupiga mzigo. kifo cha mende hoyeeeee.
 
Hahaa mnatupa kifo cha kokroch,kwichikwichii mwaka mzima style hiyo,lazma niongezee wenzako wawili wakusaidie wewe lea familia
Tatizo ni wewe na yeye, nyie ongeeni tu muweke mambo sawa unadhani nae akichepuka anapekeka kifo cha kokroch? Ni mastaili yake aliyoyaficha kabatini teh kwahiyo kumbushaneni mpeane vitu vizuri vizuri mchepuko ni temporary solution
 
Ni kweli unachosema ila sasa isiwe Jan to December, jtatu to ijumaa..
Halafu uzuri wa hizo styles hauhitaji kujikoki kama unacheza kung fu, ukinyoosha mguu ni style, ukiukunja tayari style, ukiuinua style tayari hata hiyo kifo cha mende ukiifanyia namna tayari inakua style nyingine ambayo ni advanced kifo cha mende.
 
nimekupata vizuri sasa. Kumbe mimi basi napenda kifo cha mende na maboresho yake yoote. na siku ikitokea ukanipa Evelyn Salt, basi unipe kifo cha mende au maboresho ya kifo cha mende
 
Hatukatiki jamani wenzenu tunamishono,,,,,,hhahahahahaahaaa
 
Weweee ukiona mwanamke kabadirika jua na Mme kabadirika
 
Murua murua kabisa
 
Dah ndio maana sioi maana hizi purukushani sio poa kuoa ni zamani
 
Asante kwa somo zuri Evelyn, lakini nadhani katika maisha yangu sitasahau ajali ya MV Bukoba, maana naamini wanawake unaowataja wote walikufa kwenye ajali hiyo, wachache waliobaki ndo wameishia kwenye ajali ya Treni Dodoma na MV Nyerere juzi.
 
Asante kwa somo zuri Evelyn, lakini nadhani katika maisha yangu sitasahau ajali ya MV Bukoba, maana naamini wanawake unaowataja wote walikufa kwenye ajali hiyo, wachache waliobaki ndo wameishia kwenye ajali ya Treni Dodoma na MV Nyerere juzi.
Huyo huyo ulienae ndio mwanamke mtizame kama binadamu na sio malaika, kama sio mzuri ilikuaje hadi ukafanya uamuzi wa kua nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…