Wanawake tulio single tuweni makini na hili

Ujasiri wa kwenda kwa mpenzi wako sijui ME tunautolea wapi....ndo haya unafumwa na anayemlipia hicho chumba mwishowe unageuzwa halwa!
 
No.6 " Wanaume walivyo wajinga" .Mwanaume/wanaume waliowahi kuwa na wewe wanajua kuwa unawaona wajinga?
 
Hizi fikra zilizowasilishwa hapa zimekaa kwenye mtazamo hasi kwa sehemu kubwa........duh pole sana!
 
Umeandika ukweli ila tukishafall in love tunasahau yote hayo ndio kwanza nae anapewa funguo

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mimi ni date nawewe mwaka mzima nisijue unapoishi kweli??
Kuweni serious kidogo.

Kujua unapoishi ni lazima na ni namna pia ya kujua kama ni future wife material.
Sema siwezi kuja kulala wala kujiachia kwako never
Labda kama mnawazungumzia "Wavulana"
 
πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€πŸ˜˜πŸ˜β˜ΊπŸ˜šπŸ˜ŠπŸ˜™
 
Sasa wanaume wa saivi ndo wanapenda kitonga, hivyo wameguswa kunako.
Viben10 hili ni jambo lenu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
bilashaka yamekukuta!!!!
 
πŸ”’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…