Wanawake tulio single tuweni makini na hili

Wanawake tulio single tuweni makini na hili

Mwanaume mwenye uelewa hata akikupangishia....... anakuwa na nyumba ingine ya kukusaula (machinjio), hapo kuna mlinzi tuu... naukijileta bila taarifa huruhusiwi kuingia.....nakupangishia ulale mahali safi.....siji huko...ila usiingize mtu mume hapo.....hotel na guest wanaenda wanafunzi.......uelewe kuna Mwanaume na mvulana.......la sivyo watakuchovya mno...
 
Kwa staili hii bado mtafeli sana wanaume si wajinga kiasi hicho, labda wavulana! Huwa hatujengi kibanda, siku ya kwanza nikikaa na wewe dakika tatu zanitosha kujua hapa nimekutana na mkali kwanza, jambazi, mwehu, tegemezi, tapeli, ama wife material, baada ya hapo nitajua niende na wewe vipi. Sisi tunawinda lakini wanawake ni wawindaji wazuri zaidi. Ukilijua hili mambo ni laini kabisa, unaweza kuwa katika mahusiano japo huusiani nayo kivile.
We umemaliza asipokuelewa wewe basi tena. Inaelekea kumbe hatujui huyu. Yaani sina haja ya ku comment tena .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo dada zangu mna presha za ndoa wengi wenu.Yaani utakuta mwanamke kapanga na kuna kidume kinaseleleka kuanzia nyapu ,msosi mpaka nauli na ukimzingua anaku butua kesho anakuomba msamaha yanaisha baadaye jamaa anaendelea kuseleleka kama kawa.

Mimi kipindi nimemaliza 4m6 na subiri matokeo,nilikuwa na msindikiza baba kusuluhisha kesi kama hizi usiku wa manane,mzee alikuwa mjumbe.

Kuna kesi kama tatu,demu kapigwa anamfukuza jamaa yake na jamaa yake anakomaa.Mna suruhisha vizuri,mwanamke ana apa kabisa "mimi kwa yule mwanaume basi,sizani kama nitamrudia" ,kesho unawaona wanakumbatiana,mapenzi moto moto,unamuona jamaa asubuhi na taulo lake kaandaliwa maji anaenda kuoga.

Mzee wangu basi alionaga upuuzi,wakimletea kesi,kwanza anauliza nani kama wale wale hata hajisumbui anaenda zake kulala.

Na wengi wao wanaofanya hivi single mother na mademu wenye stress za ndoa.
Hizo points umeziandika lkn wanawake wenzako hawato kuelewa KABISA,tena siku hizi wanawake type hizo wanajua kuhonga na wapo wengi,basi wale wazee wa vitonga wanaweka kambi.
 
joseph1989, Natamani na nyie mngepewa matiti watoto wakanyonyeshwa kwa zamu[emoji848][emoji848]

Ili mjifunze kwamba single mother sio kosa bali ni kosa la huyo mdangaji, halafu anakimbia majukumu na mwanae[emoji83][emoji83]

Hafu mnajidai mimi ndio baba mtoto atanitafuta tu!

Mkawachukue watoto wenu muwalee mmpunguzie majukumu huyo single mother

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DJkus,
Mbona umekasirika?

Wapi nimeponda kuhusu single mother?

Bali nimezungumza kile nilichokiona na kukishuhudia ,hiyo haitoshi hata nyumba niliyo panga nayaona haya.Sizani kama nimekosea,ila kama nime kukwaza SAMAHANI dada yangu.

I have huge respect to all single mothers.

Cha msingi kujiamini na kupunguza hizi presha za ndoa kama,ndoa ipo ipo tu usilazimishe mpaka uhonge wanaume.

Kuna wanaume wengine washenzi watatumia udhaifu wako huo kukuumiza,mimi nilikuwa natoa kama ushauri tu.
 
Mnaonekana hadi leo wanawake bado hamjaweza kutofautisha baina ya wanaume na wavulana

Wanaume si wajinga kama mnavyozani nyinyi , we are pragmatic superior

Hizo mbinu zote ulizonazo ukikutana na mwanaume zinakufa kifo cha mende

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣 🤣 🤣 🤣 sjawai kujua kama nafasi ya girlfriend/ boyfriend inatambulika officially ila sjawai kuona nafasi zao hata kwene maandishi
Wewe unawajaza upepo wenzio ambao hawaja olewa nimekushtukia!! Sisi wanaume huwa tunasema nina gelofurendi, tosha!!
 
Wewe unawajaza upepo wenzio ambao hawaja olewa nimekushtukia!! Sisi wanaume huwa tunasema nina gelofurendi, tosha!!
🤣 🤣 🤣 🤣 kabla sjaolewa nlikuwa nasema niko single siku zote siezi kujieka bond kwa boyfriend nikazibia wengine bhana....
 
Back
Top Bottom