Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Umeandika ukweli ila tukishafall in love tunasahau yote hayo ndio kwanza nae anapewa funguo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unakuta saa nyingine upo geto kwa mwanamke alafu anakutega kama sio kula mzigo ni nini sasa?Tatizo hakuna mwanaume mwenye akili anaweza kwenda kula tunda kwenye kitanda cha demu.. never ever!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh. Sisi wanaume kwakweli tupo wajinga sana6,Wanaume walivyowajinga ukishamkaribisha kwako anawatangazia wanaume wengine ubabe wa kuonekana kwangu ,na hujionyesha kwa majirani kuwa yeye ndo baba mwenye nyumba
Usipime mwanaume hata siku moja 😂 mwanaume nikiumbe kingine kabisa.Huu ni ubaguziii, hapo utakuwa unajibagua, ukimpenda kidum mpende jinsi alivyo, usiangalie leo pia kuna kesho. Huku kujificha ficha kutakufanya akukimbie mapema. Hakuna mtu anayependa kuwa singo bali ni ww umependa, Ukiwa unakea vizuri na mwanaume naye anakea ukichukulia izee nayey anachukulia izeee.
Chai ikiiva imeiva, ila chai haina ukoko
Ana ulimi utamu - Ana maneno matamu Mwanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Si mbaya kuwa kwenye mahusiano na mwanaume maana inapaswa iwe hivyo
Lakini kwa wanawake tulio single tuwe makini sana
Unapochagua kuishi pekee yako kwenye nyumba yako uliyopanga au uliyojenga usidhubutu kamwe kumkaribisha mwanaume nyumbani kwako hasa mpenzi wako
Bora uwe unaenda kwake kuliko yeye kuja kwako
Na pia usikubali akupangishie ni kosa kubwa sana na hilo bora upange mwenyewe ila kama ni kumuomba hela ya pango uwe unamuomba kwa njia nyingine ila usimwambie ni pango itakuwa kero hapo nyumbani kwako
Yafuatayo yanaweza kukupata kama utaruhusu kinyume chake hapo juu
1,Mwanaume ni lamba lamba ,leo utamkaribisha kwako kesho amekuacha ,ni aibu iliyoje hicho kitanda kulaliwa na wanaume tofauti tofauti kila mara bora yeye awe anabadilisha wanawake kwake kuliko wewe mwanamke
2,Ni marufuku mwanaume yeyote kuja kukusalimia kwako hata kama hampo naye kwenye mahusiano ,akikukuta na mwanaume mwingine ndani utakuwa ugomvi wa hatari,na wanaweza akakuumiza akihisi aliye kukuta naye ni mpenzi
3,Mwanaume atadhani amekuoa,yaani hapo kwako itakuwa kwake,atakutawala balaa,na atakuwa anawaleta marafiki zake hapo kwako,kazi yako ni kupikia mashem
4,Na kama ni mume wa mtu, dunia haina siri,unaweza ukakamatwa ugoni ikawa shida
5,Kama umemchoka mwanaume na unataka uachane naye inakuwa ngumu kumuacha maana kila dakika atakuja kwako ,utakuwa unamkuta kitandani kwako amelala hata unune kiasi gani hawezi akaondoka,ugomvi ugomvi ambao utakuwa unaumia wewe
6,Wanaume walivyowajinga ukishamkaribisha kwako anawatangazia wanaume wengine ubabe wa kuonekana kwangu ,na hujionyesha kwa majirani kuwa yeye ndo baba mwenye nyumba
7,Wengine mkikosana atataka akunyang'anye vyombo au assets ambazo umenunua mwenyewe au alikununulia na kukuebisha
Wanawake tushituke,tusifanye makosa
Kama hujawa wa kuolewa ila unataka kuwa na mpenzi,mkutane huko hotel au kwake kama na yeye yupo single lakini kwako usije ukadhubutu ,utaumia na utakwama sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kama hauna ndoa ukiulizwa marital status officially unasemajeHivi Kuna mwanamke yupo single kweli..? Ngumu kumesa! Labda awe mbibi,mnaposema mwanamke kuwa single siwaelewi labda useme mpo likizo!!
Hayo maswala mengine mabaharia tutakaa tujue tuna solve vipi...
Si mbaya kuwa kwenye mahusiano na mwanaume maana inapaswa iwe hivyo
Lakini kwa wanawake tulio single tuwe makini sana
Unapochagua kuishi pekee yako kwenye nyumba yako uliyopanga au uliyojenga usidhubutu kamwe kumkaribisha mwanaume nyumbani kwako hasa mpenzi wako
Bora uwe unaenda kwake kuliko yeye kuja kwako
Na pia usikubali akupangishie ni kosa kubwa sana na hilo bora upange mwenyewe ila kama ni kumuomba hela ya pango uwe unamuomba kwa njia nyingine ila usimwambie ni pango itakuwa kero hapo nyumbani kwako
Yafuatayo yanaweza kukupata kama utaruhusu kinyume chake hapo juu
1,Mwanaume ni lamba lamba ,leo utamkaribisha kwako kesho amekuacha ,ni aibu iliyoje hicho kitanda kulaliwa na wanaume tofauti tofauti kila mara bora yeye awe anabadilisha wanawake kwake kuliko wewe mwanamke
2,Ni marufuku mwanaume yeyote kuja kukusalimia kwako hata kama hampo naye kwenye mahusiano ,akikukuta na mwanaume mwingine ndani utakuwa ugomvi wa hatari,na wanaweza akakuumiza akihisi aliye kukuta naye ni mpenzi
3,Mwanaume atadhani amekuoa,yaani hapo kwako itakuwa kwake,atakutawala balaa,na atakuwa anawaleta marafiki zake hapo kwako,kazi yako ni kupikia mashem
4,Na kama ni mume wa mtu, dunia haina siri,unaweza ukakamatwa ugoni ikawa shida
5,Kama umemchoka mwanaume na unataka uachane naye inakuwa ngumu kumuacha maana kila dakika atakuja kwako ,utakuwa unamkuta kitandani kwako amelala hata unune kiasi gani hawezi akaondoka,ugomvi ugomvi ambao utakuwa unaumia wewe
6,Wanaume walivyowajinga ukishamkaribisha kwako anawatangazia wanaume wengine ubabe wa kuonekana kwangu ,na hujionyesha kwa majirani kuwa yeye ndo baba mwenye nyumba
7,Wengine mkikosana atataka akunyang'anye vyombo au assets ambazo umenunua mwenyewe au alikununulia na kukuebisha
Wanawake tushituke,tusifanye makosa
Kama hujawa wa kuolewa ila unataka kuwa na mpenzi,mkutane huko hotel au kwake kama na yeye yupo single lakini kwako usije ukadhubutu ,utaumia na utakwama sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Una miguu mizuri!!
Ukishakubali kutumika kama chombo cha kumstarehesha mwanamume ujue umejimaliza mwenyewe. Mapenzi ni kikohozi, hakuna mwanamke yeyote DUNIANI awezaye kuishi hizo kanuni labda kupitia keyboard.Si mbaya kuwa kwenye mahusiano na mwanaume maana inapaswa iwe hivyo, lakini kwa wanawake tulio single tuwe makini sana.
Unapochagua kuishi pekee yako kwenye nyumba yako uliyopanga au uliyojenga usithubutu kamwe kumkaribisha mwanaume nyumbani kwako, hasa mpenzi wako. Bora uwe unaenda kwake kuliko yeye kuja kwako.
Na pia usikubali akupangishie ni kosa kubwa sana na hilo bora upange mwenyewe ila kama ni kumuomba hela ya pango uwe unamuomba kwa njia nyingine ila usimwambie ni pango itakuwa kero hapo nyumbani kwako.
Yafuatayo yanaweza kukupata kama utaruhusu kinyume chake hapo juu
1. Mwanaume ni lambalamba. Leo utamkaribisha kwako kesho amekuacha; ni aibu iliyoje hicho kitanda kulaliwa na wanaume tofauti tofauti kila mara, bora yeye awe anabadilisha wanawake kwake kuliko wewe mwanamke.
2. Ni marufuku mwanaume yeyote kuja kukusalimia kwako hata kama hampo naye kwenye mahusiano, akikukuta na mwanaume mwingine ndani utakuwa ugomvi wa hatari, na wanaweza akakuumiza akihisi aliye kukuta naye ni mpenzi.
3. Mwanaume atadhani amekuoa,yaani hapo kwako itakuwa kwake,atakutawala balaa,na atakuwa anawaleta marafiki zake hapo kwako, kazi yako ni kupikia mashem
4. Na kama ni mume wa mtu, dunia haina siri,unaweza ukakamatwa ugoni ikawa shida
5. Kama umemchoka mwanaume na unataka uachane naye inakuwa ngumu kumuacha maana kila dakika atakuja kwako, utakuwa unamkuta kitandani kwako amelala hata unune kiasi gani hawezi akaondoka, ugomvi ugomvi ambao utakuwa unaumia wewe.
6. Wanaume walivyo wajinga ukishamkaribisha kwako anawatangazia wanaume wengine ubabe wa kuonekana kwangu, na hujionyesha kwa majirani kuwa yeye ndo baba mwenye nyumba.
7. Wengine mkikosana atataka akunyang'anye vyombo au assets ambazo umenunua mwenyewe au alikununulia na kukuebisha.
Wanawake tushituke, tusifanye makosa.
Kama hujawa wa kuolewa ila unataka kuwa na mpenzi,mkutane huko hotel au kwake kama na yeye yupo single lakini kwako usije ukathubutu, utaumia na utakwama sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si mbaya kuwa kwenye mahusiano na mwanaume maana inapaswa iwe hivyo, lakini kwa wanawake tulio single tuwe makini sana.