Wanawake tunaolewa na walio tayari kwa ndoa

Hio point ya hela sio relevant ndo maana maskin na watu wa Kawaida Wanamiliki wanawake

Alafu mwanamke anaweza mkubalia mwanaume hata yeye mwenyewe hajui ni sababu hipi iliyomfanya amkubalie mwanaume
 
When poverty enters through the door, love escapes through the window
Sio kweli kwa 100% kwa point yako watu maskin na WA Hali ya chini wasingekua na wake na matajiri ndoa zao zisingekua zinavunjika mahusiano ili yadumu ni mjumuisho wa mambo mengi sio hela tu, Kuna caring, kuhandle ya mapungufu ya mwenzako n.k
 
Hio point ya hela sio relevant ndo maana maskin na watu wa Kawaida Wanamiliki wanawake

Alafu mwanamke anaweza mkubalia mwanaume hata yeye mwenyewe hajui ni sababu hipi iliyomfanya amkubalie mwanaume
Lipo jambo linalomfabya amkubali na pia hao maskin unaosema wanawapata maskin wenzao so lazima mambo yaende sawa
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
Sio kweli kwa 100% kwa sababu watu maskin na wa hali ya kawaida wasingekua na wake na matajiri ndoa zao zisingekua zinavunjika mahusiano ili yadumu ni mjumuisho wa mambo mengi sio hela tu, Kuna caring, kuhandle ya mapungufu ya mwenzako n.k
 
Lipo jambo linalomfabya amkubali na pia hao maskin unaosema wanawapata maskin wenzao so lazima mambo yaende sawa
Kuna jamaa alikua konda na akamuoa mtoto wa tajiri wanawake hawajulikani ni nin wanachotaka

Watu wenye hela nao wanapigwa vibuti na mapenzi yanawatesa
 
Sio kweli kwa 100% kwa point yako watu maskin na WA Hali ya chini wasingekua na wake na matajiri ndoa zao zisingekua zinavunjika mahusiano ili yadumu ni mjumuisho wa mambo mengi sio hela tu, Kuna caring, kuhandle ya mapungufu ya mwenzako n.k
Hatujakataaa kuna mambo mengi. Katika mambo mengi hayo, tafiti mbali mbali zimeeleza kuwa sababu inayoongoza kwa ndoa duniani kutetereka ni ukosefu wa pesa ndani ya nyumba.

Kuna rafiki yangu anafanya kazi kampuni moja ya wauza condom. Katika tafiti zao moja hapa nchini, wake kwa zaidi ya 60% waliochepuka kwenye ndoa zao walisema sababu ni kwamba walishawishika na hela za huyo mwanaume mwengine.

These are facts we need to deal with not opinions to be debated.
 
Matajiri ndo wengi wao ndoa zao hazidumu na ndo wanatongoza kwa michepuko na hawa sababu ni nin
 
Hahahaha kinda inawezekana alikua na show Kali on bed. Wanawake wanataka vyote show na pesa pia
Nikutolee mfano Kuna jamaa alikua kwenye coma tokea mwaka wa 80's amefariki juzi miaka yote hiyo mke wake hakumkimbia na alikua kila siku ana mhudumia na akumkimbia

Tatizo kubwa tunapenda kugenerilize sio wanawake wote wanapenda pesa, wako ambao pesa sio sababu ya yeye kumkubalia mwanaume na pesa zako anampiga mwanaume kibuti vizuri tu na hawazi Mara mbili
 
Mwanamke anaolewa na yoyote aliye tayari kumuowa, ilo swala la kumpendaa ni swala la mwanaume vile atakavyoteka hisia za mwakamke, mwanaume ukitumia pesa au Mali kumteka mwanamke basi utalia siku zote kwenye ndoa yakoo
 
Matajiri ndo wengi wao ndoa zao hazidumu na ndo wanatongoza kwa michepuko na hawa sababu ni nin
Hazidumu kwa sababu mbili kuu.
1) When u have money u are handsome, mila demu yupo tayari umgeggede. Majaribu mwishoe ya akuzidi unaona bora nimgegegde tuu. Sie wanaume sii tunasemaga mwanamke mzuri anatongozwa na wanaume daily mwishoe kuna mmoja atamkula. Basi same applies kwa mwanaume mwenye hela.

2) Mwanamke anaweza mkubali mwanaume kuolewa sio kwa sababu ya upendo bali kwa sababu ya hela. So yupo kwenye ndoa kwa sababu ya hela na sio upendo. Hivyo basi nae kwa ubinadamu itafika wakati atataka kumwagilia moyo kwa kuwa na yule ampendae
 
HAO WAMEVUKA MTIHANI YA NDOA WANASTAHILI KUOANA. WABARIKIWE SANA, HA HA HA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…