Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Watakutenga wenzioImekuwa ni kawaida wanawake kudai haki sawa kwenye uteuzi, tukidai uwaziei, bynge na mengine mengi lakini tupo nyuma kwenye kudai KUINGIZWA VITANI FRONT LINE, kupigana na M-23, kuingia machimboni.
SASA, wadau, tuikumbushe serikali kutupeleka vitani na kulinda amani huko DRC.
Jf where people dare to speak openlyAlafu nani anyonyeshe watoto?naomba huu uzi ufutwe
Una hoja usikilizweImekuwa ni kawaida wanawake kudai haki sawa kwenye uteuzi, tukidai uwazi, upendeleo , kuwezeshwa na makongamano mengi , Bunge na mengine mengi lakini tupo nyuma kwenye kudai KUINGIZWA VITANI FRONT LINE, kupigana na M-23, kuingia machimboni.
Covid-19 wamekaa bungeni, zaidi ya miaka 15 na bado wanataka kurudi eti wamewezeshwa.
SASA, wadau, tuikumbushe serikali kutupeleka vitani na kulinda amani huko DRC.
ππ ikiwa 50/50 ni kitu halisi wanaume wanatarajiwa kunyonyesha.Alafu nani anyonyeshe watoto?naomba huu uzi ufutwe
So it means there is no 50/50?ππ ikiwa 50/50 ni kitu halisi wanaume wanatarajiwa kunyonyesha.
VETA wataleta bunduki ambazo zitakuwa sawa kwenye mazingira sawa.WANAWAKE HAWA HAWA WAWEKA KUCHA BANDIA VIDOLENI. SASA HIZO BUNDUKI WATABONYEZAJE?
Naomba picha mjongeo.Mbona kule DRC wapo mkuu
Labda km mnaenda kutoa burudani kwa wanaume ili wazidi kupigana sawa..!!πΉ