Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Imekuwa ni kawaida wanawake kudai haki sawa kwenye uteuzi, tukidai uwazi, upendeleo , kuwezeshwa na makongamano mengi , Bunge na mengine mengi lakini tupo nyuma kwenye kudai KUINGIZWA VITANI FRONT LINE, kupigana na M-23, kuingia machimboni.
Covid-19 wamekaa bungeni, zaidi ya miaka 15 na bado wanataka kurudi eti wamewezeshwa.
SASA, wadau, tuikumbushe serikali kutupeleka vitani na kulinda amani huko DRC.
Covid-19 wamekaa bungeni, zaidi ya miaka 15 na bado wanataka kurudi eti wamewezeshwa.
SASA, wadau, tuikumbushe serikali kutupeleka vitani na kulinda amani huko DRC.