Ni kuishi nao kwa akili haswa haijalishi amesoma au hajasoma tena bora hata awe hajasoma maana kuna vitu akivifanya hautashangaa sana sababu tayari kuna justification ni rahisi kum handle, awe amesoma halafu hajaelimika na wengi ndio wako hivi hapo lazima usage meno. Unaweza ukafamnyia vitu 99 ila siku utakaposhindwa tu hauna hata thamani kwake, wao ni watu wakuangalia wakati uliopo tu. Ndio maana mimi binafsi nna principal yangu jinsi ya kuishi na hawa watu na inanisaidia kweli[/QUOTE ]
4. Mwanamke ni kiumbe (Mwanamke hakuumbwa kwa udongo). Aliyeumbwa kwa udongo ni mwanaume ndiyo maana matendo ya wanawake ni ya hatari sana. Ushaujiuliza kwanini wanawake wanakuwa na mapepo?
Ni hatari sana hata wao wenyewe huwa wanajisifu kwamba ni hatari, sasa naanza kuamini wanaojisifu sio wao bali ni mapepo yaliyopo ndani ya miili yao
5. Mwanamke ni kiumbe pekee aliyeongea na shatani ana kwa ana. Ushajiuliza kwanini alienda kwa mwanamke akamuacha mwanaume?
Kwa sababu mwanamke ndio alikuwa ni soft target kwa shetani kutimiza kusudio lake na mpaka leo hii akitaka kupitisha ajenda zake anapitia kwenye kivuli cha mwanamke ref.Feminism
USISHINDANE NAYE UTAAUMIA
N.B
-Wanaume tutafute pesa na hata tukikwama tufe na tai shingoni kwasababu mwanamke ni kiumbe pekee aliyeongea na shetani ana kwa ana. Kama aliongea na shetani ana kwa ana usitegemee msaada wake kama utaupata ni wa masharti. Pigana wewe kama wewe, hata sehemu yenye msaada usimuombe msaada angalie yeye mwenyewe. Asipoona wewe komaa.
Nazingatia sana ujumbe huu... mimi naamini kwenye mambo mazito wanawake hawanaga msaada ndio maana hata sina vigezo complicated kwenye suala la kuoa
-Kabla ya kuoa unabidi mchunguze sana mwanamke uliyenaye kabla haujaingia ndoani. Kabla ya kumuoa muishi pamoja hata kwa miezi 6 hapo utagundua mengi.
Basi mimi naona hata hiyo miezi sita ni michache sana, ni rahisi sana mtu kupretend akificha tabia zake mbovu kwa muda wa miezi sita kuliko miaka miwili, so muda mzuri wa kukaa nae hili mjue in and out completely ni kuanzia miaka miwili
-Tukifuata maandiko Mwanaume atakula kwa jasho na ni kichwa cha familia yaani atahudumia familia yake kwa kila kitu na mwanamke ni msaidizi aliyeumbwa kutoka kwenye ubavu wa kushoto wa mwanamke kwahiyo atalea watoto na majukumu ya nyumbani (Mwanamke hatakiwi kufanya kazi akae nyumbani na mwanaume awe mtafutaji).
Amina kiongozi na siku zote ukitaka kuwa na ndoa/familia bora ni lazima uyaishi haya maandiko pasipo kuyaikuka hata kidogo. Watu wengi hasa wanaume wenzangu wamekuwa wakiyakiuka haya maandishi bila ya wao kujua hasa kuanzia kwenye machaguzi yao ya wachumba, halafu siku mambo yakiwa ndivyo sivyo ndani ya ndoa wanakuja kulia lia tu huku mitandaoni.
Binafsi mimi maisha yangu lazima niyapeleke kwa kuzingatia desturi za kale ambazo zinabeba mfumo wa asili uliowekwa na Mingu na hata kwenye kutafuta mchumba nitafuta mchumba ambaye ataendana na mfumo huo.
Asante sana kwa bandiko lako zuri! mwenye akili na aelewe.