Umekaa ukafwatilia matatizo ya ndoa za wasomi,hizi nyingine umeangalia?
Je ,wasomi wanaoishi vizuri hujawaona.
Endelea kuwaza hivyohivyo.
Kumbe unajua shule Ni muhimu halafu unawaambia wenzio wanawake waliosoma Ni Kama sigara ni hatari kwa afya..halafu unasema hatujakuelewa.
Acha unafiki mkuu.
Wewe usipotaka kuoa msomi,nenda kaoe wa chekechea...hayo Ni maamuz yako.
Ila acha kuootosha wenzio kuwashauri mawazo na kuwapa sababu zisizo na maana.
Unadhani kuishia darasa la 1 ndio uke wema??au kufika chuo ndio kuwa mke mwema?
Endelea kuchanganya elimu na ndoa...siku ya kuoa we beba tu mjinga yeyote.,kwa kigezo Cha ujinga wake wa kuto kusoma.
Siku akikunyosha utajua kuwa elimu haihusiani na ndoa ama tabia ya mtu