Wanawake tuwe waelewa tukiwa kwenye ndoa jamani

Wanawake tuwe waelewa tukiwa kwenye ndoa jamani

Single BABA na single MAMA hawatoisha nasema...Mke kama huyo wanini aseeee? Akienda kwa wazazi wake akirudi atakuta nshahama na watoto npo sehemu ingine Ndo ajue mimi mwanaume au mwanamke na sitomwambia.

Akipiga simu namjibu simple and clear..Anza life kivyako Vitu vya kuanzia maisha hivyo hapo (maana sitobeba hata kijiko) Ndo atajua...wakati mwingine Upele humwota asie na kucha.
Uhame uende wapi ikiwa hata hela ya kununua nusu kilo ya sembe watoto wanywe uji huna? hahahahah
Ama utarudi kwenu kwa wazazi ukasaidiwe kulea wanao?teh teh
 
Kama unaona kusoma kwa mwanamke kwenye familia ni shida, mbona mnatafuta usaidizi kwenye majukumu yenu kupitia vipato vyao? Hao wasiosoma watakuwa tegemezi hata kwa vitu vidogo. Na siku familia mkikwamba si wataishi kama enzi za ujima? au hayo hamuyaoni kwenye familia zinazotegemea kipata cha mtu mmoja?

Naombeni mnielewe mimi simaanishi kwamba wanawake wasiende shule. Shule ni muhimu tena sana kwa dunia ya leo. Mimi mwenyewe binti yangu lazima aende shule tena ntampeleka shule zenye ubora kuliko hata zile nilizosoma mimi.

Kilichonifanya mimi kuwa na mawazo hayo ni mambo ninayoyaona yakiendelea kwenye mahusiano/ndoa ambazo ni za wasomi(hasa mwanamke) jinsi gani zilivyokuwa na misuko suko kulinganisha na zile ambazo hazijengwi na wasomi(hasa mwanamke).

Kwanini ni uongo kwamba ndoa nyingi zinazovunjika ni zile ambazo zinaundwa na wasomi(hasa mwanamke)?

Ni uongo kwamba asilimia kubwa ya wanaume wanaoteswa na mahusiano yao ni wale walioa wanawake wasomi?

Ni uongo kwamba asilimia kubwa ya ndoa zinazoteswa na pepo la ubinafsi ni wasomi?

Sasa kama majibu ya hayo maswali hapo juu ni hapana, kwanini tusione kuna kasoro kubwa kwa mwanamke aliyesoma linapokuja suala la ndoa?

Sipingi watu wakuoa wasomi ila na tahadharisha tu kinachoweza kuwakuta hili wajiandae kwa lolote.

Wanawake waliosoma are good to be with but they have forgone their marriagibility for education/career.
 
Mwanamke umebahatika kupata mwanaume wako wa ndoa,mnaishi vizuri tu,lakini kwa nini sisi wanawake tunakuwa tunawategea wanaume na huku unajua fika hali ya mmeo? Na huku tuna ingiza vipato vyetu wenyewe

Kuna mkaka nimemuonea hadi huruma

Huyu kaka ni mfanyakazi wa serikali na mke wake pia

Siku za hivi karibuni amemaliza chuo,ila gharama za chuo alikuwa anajigharamikia kwa kiasi kikubwa na kulingana na maisha ya chuo na gharama ,aliweza kukopa kwenye Benki moja hivyo kwa wastani kwa makato ya mshahara wake ,mshahara ukawa mdogo sana,na ulivyotoka wa mwezi uliopita alilipa kodi ya nyumba na nyingine kwenye shughuli za kilimo,akawa hana kitu

Na bahati nzuri mke wake anajua hali yake ya uchumi na kila kitu

Sasa leo mke wake kasafiri kwenda nyumbani kwao,na kwa vile mke wake anajua hali ya mme wake,mwanaume akafikiri mwanamke angefanya shopping ya mahitaji ya ndani kabla hajaondoka ili watoto wao watatu na mmewe wasipate shida

Lakini mwanamke hakununua mahitaji ya ndani ameondoka kwenda kwao akisema wazazi wake wamemuita kwa dharura

Mwanaume alivyojaribu kumuuliza "Mbona umetuacha bila kitu ndani?

Majibu ya mwanamke" Hivi wewe si ndo mwanaume, yaani unadiriki kuniambia jambo kama hilo,kwani mimi ndo mwanaume wa familia,wewe fanya mpango mle na wanao lakini sio kuniambia mambo ya ajabu"

Loh! Kaka wa watu mpaka nimemhurumia,

Jamani na sisi wanawake tuwe na utu,familia ni ya wote, na kama mwanaume hali si nzuri,ajibika asilimia 100,lakini si kwa roho mbaya hiyo
MIMI NI MWANAUME NINA MAWAZO TOFAUTI KIDOGO...

NI JUKUMU LA.MUME KUISIMAMIA NA KUILISHA FAMILIA KUTOKANA NA RIZKI ATAKAYOWAJAALIA ALLAH...

HUYO MUME ANA MAKOSA YAFUATAYO:-
1. Kukubali mke wake kufanya kazi...HII ILIPELEKEA KUTAKA KUULIZA MATUMIZI YA MSHAHARA WAKE...wakati haifai kuuliza wala kuitamani hela mwanamke ikusaidie labda kwa huruma na wema wake...na anapokosa huruma...ndio anakuwa kama hivyo...

2. Huyo mwanaume mnyonge sana...YAANI UMEITWA NA WAZAZI MARA MOJA UNAENDA...LABDA MUMEWE KAMRUHUSU...ILA OTHERWISE...KASHAPANDWA KICHWANI TOKA MWANZONI...
UISLAAM UNASEMA MWANAMKE AKISHAOLEWA HARUHUSIWI KUTOKA NYUMBANI BILA IDHNI YA MUMEWE...HATA KAMA WAZAZI WAKE WAMEFARIKI...

3. INABIDI AJUE NI JUKUMU LA MUME KUITUNZA FAMILIA NA KUISIMAMIA...MWANAMKE YEYE NI MLEZI TU...NA HAKUNA MAHALI IMEANDIKWA AFANYE KAZI ASAIDIANE NA MUMEWE...

JAPO SIMAANISHI KUWA MWANAMKE HARUHUSIWI KUFANYA KAZI...ILA KAMA WEWE MWANAUME UTAONA YAFAA KUFANYA NA HUTOMWINGILIA KATIKA MAPATO YAKE...WALA HUTOMPUNGUZIA HAKI YAKE MUMEWE WALA WAJIBU WAKE KWA MUMEWE AU WATOTO...

4. HUYO MWANAMKE HANA HURUMA...NA HURUMA HUSABABISHWA NA MAPENZI...mengine ujaze mwenyewe...
 
Halafu kama umeshagundua humu wengi ni wanafiki tu au kama sio wanafiki basi hawana ufahamu na hiyo phrase ya bible wanayopenda kuinukuu mara kwa mara.

Yaani mtu anaropoka tu eti utakula kwa jasho nitazaa kwa uchungu.

Wakati huo yeye mwenyewe hapo haishi kama mwanamke aliyeelezewa kwenye bible.. mtu anaipa kazi kipaumbele kukiko mume na familia halafu bado ana ujasiri wa kunukuu vifungu vya bible yote hiyo ni sababu tu vinaonekana kumpa fovor akivitamka mbele za watu.
Hatari aisee
 
Mwanamke umebahatika kupata mwanaume wako wa ndoa,mnaishi vizuri tu,lakini kwa nini sisi wanawake tunakuwa tunawategea wanaume na huku unajua fika hali ya mmeo? Na huku tuna ingiza vipato vyetu wenyewe

Kuna mkaka nimemuonea hadi huruma

Huyu kaka ni mfanyakazi wa serikali na mke wake pia

Siku za hivi karibuni amemaliza chuo,ila gharama za chuo alikuwa anajigharamikia kwa kiasi kikubwa na kulingana na maisha ya chuo na gharama ,aliweza kukopa kwenye Benki moja hivyo kwa wastani kwa makato ya mshahara wake ,mshahara ukawa mdogo sana,na ulivyotoka wa mwezi uliopita alilipa kodi ya nyumba na nyingine kwenye shughuli za kilimo,akawa hana kitu

Na bahati nzuri mke wake anajua hali yake ya uchumi na kila kitu

Sasa leo mke wake kasafiri kwenda nyumbani kwao,na kwa vile mke wake anajua hali ya mme wake,mwanaume akafikiri mwanamke angefanya shopping ya mahitaji ya ndani kabla hajaondoka ili watoto wao watatu na mmewe wasipate shida

Lakini mwanamke hakununua mahitaji ya ndani ameondoka kwenda kwao akisema wazazi wake wamemuita kwa dharura

Mwanaume alivyojaribu kumuuliza "Mbona umetuacha bila kitu ndani?

Majibu ya mwanamke" Hivi wewe si ndo mwanaume, yaani unadiriki kuniambia jambo kama hilo,kwani mimi ndo mwanaume wa familia,wewe fanya mpango mle na wanao lakini sio kuniambia mambo ya ajabu"

Loh! Kaka wa watu mpaka nimemhurumia,

Jamani na sisi wanawake tuwe na utu,familia ni ya wote, na kama mwanaume hali si nzuri,ajibika asilimia 100,lakini si kwa roho mbaya hiyo
😁😁😁
 
Back
Top Bottom