Wanawake tuwe waelewa tukiwa kwenye ndoa jamani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani amekazana kuwapa wenzio vitisho kwa sababu ya perceptions zake zisizo na maana.
Awaache wachague wenyewe..mambo ya kutishana mambo gani.
Tena huyu hawajui wasiosoma vizuri... sisi wenyewe tuna mifano hai..mwanamke akishajanjaruka tu mbona unajuta nae.
Wasomi Hakuna kipya tusichokijua..tukiolewa Ni kujenga familia tu..ulimbukeni wote tushaona
 


Kipi nimekikataa? hebu kioneshe

Ndio aina ya maisha/malezi niliyopitia udogoni ni tofauti sana na malezi nnayojionea hivi leo. Na nna shukuru sana nililelewa kwenye kizazi cha wanawake wanaojua kulea tofauti na wa hichi kizazi chenu cha instagram kilichoenda shule lakini mna zero skills kwenye malezi ya watoto wenu.

Hapo kwenye blue ndio umethibitisha kabisa mmeenda shule lakini haiwasaidii kitu kwenye social life. Yaani jukumu la kulea mtoto unataka uligawane na baba? hasa mtoto mdogo? my sympathy to whoever wifed you.
 

Kwamba unataka takwimu? hata nikikuwekea utaamini vipi kwmba sijazipika wakati akili yako haijajiandaa kukubaliana na ninachokisema? haya niko Dodoma wewe huko wapi!? nataka twende kwenye ofisi za Rita tukadhibitishe mimi na wewe.

Haya swali langu kwako, sasa kwanini wanaolia lia wengi ukiwasoma tu maelezo yao ni wale wanaolizwa na wanawake wasomi? kwanini unawaona wamepoteza nafasi kama mume kwenye ndoa? kwanini unaona tatizo liko upande wao? kwanini hatuoni waliooa std7 leavers wakija kulia lia humu? mtu anasema mke wangu nimemfumania na amenilaza ndani.. halafu wewe unasema eti hizo ni minor issue huko serious kweli?

Kwanini akose say ndani ya nyumba? na kwanini una assume kosa ni la mwanaume mpaka mwanamke amekuwa hivyo na usi-assume huyo mwanamke ana kiburi na ndio sababu ya mwanaume kokosa say?

Personally i am not soft to be played by any woman. I am african man who’s ready anytime to carry my masculine duties with no hesitation. I just don’t need highly educated/career woman as a wife for the sake of family stability.

Real men possess the virtues that most average men don’t have, they can forsee the unforeseen tragedy and take precautions to escape the possible damage. Real men are economical and wise, they don’t use their resources to solve the problem that could’ve been escaped at the first place.. Only average men do that.

Sijamtisha mtu asioe msomi! ila mwenye akili atumie akili zake kuelewa
 

Mkuu, Nimekuelewa.
 
Wanawake ni binadamu wenye roho mbaya sana, ni kielezo cha mashetani ndiyo maana wengi wanamapepo, bila wao kusingekua na shida hapa duniani. Tuishi nao kwa alkili sana.
....................." Tuishi nao kwa akili sana" hili neno la mwisho nimekupata. Ahsante sana!!!!!
 
Ambia wanaume wenzio wakusikie

Wamesikia Mama!!

Na wewe kama umeolewa jitahidi kuishi vizuri na Mumeo, ikiwa mnakwazana jitahidi yaishie chumbani msiyatoe nje. Nakutakia maisha marefu yenye kheri na fanaka.
 
Ndio maana asilimia kubwa wanamapepo na wao ndio wanaenda kwa waganga hii ndio tafiti za mida.
 
Hahahahaaaa

Hivi mwanaume unaridhikaje na mshahara ambao unajua hauwezi kucover mahitaji yako na familia?

Halafu unatoka hapo unaenda msimulia mchepuko aibu zako
 
Ila huyo kaka ana moyo nae kumuuliza mwanamke "Mbona umetuacha bila kitu ndani?

Kaka zangu tafuteni hela tafuteni hela mbebe majukumu yenu wenyewe
Eh watafute hera hana aibu .
Ubebe wewe uzae wewe bado ulee wewe kwani wewe ni single mother?? Siumeolewa na baba yao siyupo??
Inaonekana huyo mama hakuolewa kwa mapenzi ila kwa kuchunwa tu.
Kachoka naye eti ndio kaenda kutuliza pressue yake kwa maana inaonekana kila kitu ni yeye kavumilia kachokaaa.
Wanaume wa sampuli hizi ni mikosi halafu umeshaoana naye jamani harusi za kislamu ni nzuri unaona hizi shida unadai talaka zako tatu dah unafanya chamboo.
Hivi hela zenu mnazipelekaga wapi kama sio kwa michepuko huyo mama anaonyesha kachoka
 
Hongera sana ila naona unatumia nguvu nyingi sana kuwaelemisha hawa watu ila hatakuelewa
1. Siku zote mwanamke ni mbinafsi. Tatizo lake ni la wote ila lako ni lako. Inabidi mwanaume tulitambue hilo
2. Mwanamke ni kiumbe dhaifu sana. Anaamini mwanaume ni ATM mashine, hawezi kukosa pesa milele au kukwama kwenye jambo lolote. Mwanamke akichepuka atasema wewe ndiyo sababu ila wewe ukichepuka utaambiwa hauridhiki.
3. Mwalimu wao ni kipofu. Mwanamke hana shukrani hata ufanye nini ndiyo maana tunaambiwa tuishi nao kwa akili. Hapa ni sawa unakula na kipofu kwahiyo unatakiwa ule naye lakini usimguse mkono
4. Mwanamke ni kiumbe (Mwanamke hakuumbwa kwa udongo). Aliyeumbwa kwa udongo ni mwanaume ndiyo maana matendo ya wanawake ni ya hatari sana. Ushaujiuliza kwanini wanawake wanakuwa na mapepo?
5. Mwanamke ni kiumbe pekee aliyeongea na shatani ana kwa ana. Ushajiuliza kwanini alienda kwa mwanamke akamuacha mwanaume? USISHINDANE NAYE UTAAUMIA
N.B
-Wanaume tutafute pesa na hata tukikwama tufe na tai shingoni kwasababu mwanamke ni kiumbe pekee aliyeongea na shetani ana kwa ana. Kama aliongea na shetani ana kwa ana usitegemee msaada wake kama utaupata ni wa masharti. Pigana wewe kama wewe, hata sehemu yenye msaada usimuombe msaada angalie yeye mwenyewe. Asipoona wewe komaa.
-Kabla ya kuoa unabidi mchunguze sana mwanamke uliyenaye kabla haujaingia ndoani. Kabla ya kumuoa muishi pamoja hata kwa miezi 6 hapo utagundua mengi.
-Tukifuata maandiko Mwanaume atakula kwa jasho na ni kichwa cha familia yaani atahudumia familia yake kwa kila kitu na mwanamke ni msaidizi aliyeumbwa kutoka kwenye ubavu wa kushoto wa mwanamke kwahiyo atalea watoto na majukumu ya nyumbani (Mwanamke hatakiwi kufanya kazi akae nyumbani na mwanaume awe mtafutaji).
 

Sawa
 

Keep your sympathy to yourself na elimu niliyopata itamsaidia ntakaemleta duniani na mume wengine opinions hazitomfanya ke kutokua mama na malezi ndo hayahaya
 
Hongera sana ila naona unatumia nguvu nyingi sana kuwaelemisha hawa watu ila hatakuelewa
Kweli kabisa mkuu yaani nimerudia rudia maelezo hapa lakini watu hawaelewi kitu, nimewapa mifano lakini holaa!!! wameishia kuniijia juu kwa hisia tu(emotion) lakini hawajelewa kitu 3. Mwalimu wao ni kipofu. Mwanamke hana shukrani hata ufanye nini ndiyo maana tunaambiwa tuishi nao kwa akili. Hapa ni sawa unakula na kipofu kwahiyo unatakiwa ule naye lakini usimguse mkono
 
Utakula kwa jasho nitazaa kwa uchungu
Umeandika vyema. Maandiko yajaruhusu mwanamke kufanya kazi alitakiwa awe mama wa nyumbani azae na alee watoto (azae kwa uchungu). Yajaandika mwanamke amke asubuhi saa 11 arudi saa 12 jioni ndiyo maana wazee wetu kwa kufuata maandiko waliwaachisha wanawake kazi wawe mama wa nyumbani kwasababu mwanaume ndiyo kichwa cha familia na ndiyo anatafuta ridhiki kwa ajili ya kuhudumia familia.
Kumruhusu mkeo kufanya kazi ni kukiuka maandiko ndiyo shida inapoanzia hapo. Soma Biblia na Quran ni kifungu gani kimemruhusu mwanamke kufanya kazi?
 

Halafu kama umeshagundua humu wengi ni wanafiki tu au kama sio wanafiki basi hawana ufahamu na hiyo phrase ya bible wanayopenda kuinukuu mara kwa mara.

Yaani mtu anaropoka tu eti utakula kwa jasho nitazaa kwa uchungu.

Wakati huo yeye mwenyewe hapo haishi kama mwanamke aliyeelezewa kwenye bible.. mtu anaipa kazi kipaumbele kukiko mume na familia halafu bado ana ujasiri wa kunukuu vifungu vya bible yote hiyo ni sababu tu vinaonekana kumpa fovor akivitamka mbele za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…