Wanawake tuwe waelewa tukiwa kwenye ndoa jamani

Wanawake tuwe waelewa tukiwa kwenye ndoa jamani

Sijuii huwa tunakwama wapi jamani!

Mwanamke yupo kwenye ndoa na bado hajui jukumu la familia ni la baba na mama, yaani mke na mume!

Mipango inatakiwa iwepo kabla hata ya kuoana, sijui kama wanaume huwa wanaliwaza hili... Mwanaume Jaribu kukwama siku moja uone kama mpenzi wako ama mchumba wako atakusaidia au ndo atanunaa!!
Sidhan kama huwa wanafikiria hilo
 
Tutafuteni pesa mabaharia la sivyo tuta-aibika sana na hawa rafiki zake shetani

Nb mwanamke ndo kiumbe pekee aliyeonana ana kwa ana na shetani na wakapiga story mwisho wa siku wakakubaliana kula tunda

So nikisema mwanamke ni rafiki yake shetani namaanisha hamuwezi kukubaliana kama hamn urafiki
Kwajinsi ulivyo elezea, nimejikuta mawazo yangu yanaamini kwamba wewe ni mchepuko wa huyo unae muita kwa jina la kaka mmoja....
[emoji23]
 
Hayo majibu hapo juu ukiwa makini unaweza kujua jibu la alie kwenye ndoa na asie kwenye ndoa...
Huwezi kujua kwa sababu kuna ndoa inakuwa imevurugika hasahasa kama mme anachepuka na mke anajua, na labda kabla ya hapo alikuwa anachangia matumizi bila shida lakini leo mme anahonga nyumba ndogo hivi mke ataendelea kutoa hela kwa moyo jamani

Acheni kutwisha Lawama wanawake kwa kisingizio kuwa wao ni wabaya na wanaweza kukosa kuolewa, niwaambie tu kadiri umri unavyoyoyoma mwanaume ndio anahitaji zaidi kuwa na mke.

Mleta mada atakuwa ni nyumba ndogo ya jamaa ndo maana kaijua story nzima wakati ni mambo ya ndani, kusimuliwa na Mchepuko wake... Shame on you
 
Sijuii huwa tunakwama wapi jamani!

Mwanamke yupo kwenye ndoa na bado hajui jukumu la familia ni la baba na mama, yaani mke na mume!

Mipango inatakiwa iwepo kabla hata ya kuoana, sijui kama wanaume huwa wanaliwaza hili... Mwanaume Jaribu kukwama siku moja uone kama mpenzi wako ama mchumba wako atakusaidia au ndo atanunaa!!
Wadanganye tu wenzio.
 
Tutafuteni pesa mabaharia la sivyo tuta-aibika sana na hawa rafiki zake shetani

Nb mwanamke ndo kiumbe pekee aliyeonana ana kwa ana na shetani na wakapiga story mwisho wa siku wakakubaliana kula tunda

So nikisema mwanamke ni rafiki yake shetani namaanisha hamuwezi kukubaliana kama hamn urafiki
Nimecheka sana [emoji3][emoji23][emoji16]
 
Back
Top Bottom