The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,522
Uhame uende wapi ikiwa hata hela ya kununua nusu kilo ya sembe watoto wanywe uji huna? hahahahahSingle BABA na single MAMA hawatoisha nasema...Mke kama huyo wanini aseeee? Akienda kwa wazazi wake akirudi atakuta nshahama na watoto npo sehemu ingine Ndo ajue mimi mwanaume au mwanamke na sitomwambia.
Akipiga simu namjibu simple and clear..Anza life kivyako Vitu vya kuanzia maisha hivyo hapo (maana sitobeba hata kijiko) Ndo atajua...wakati mwingine Upele humwota asie na kucha.
hata kwa wazazi ikibidi aseeeUhame uende wapi ikiwa hata hela ya kununua nusu kilo ya sembe watoto wanywe uji huna? hahahahah
Ama utarudi kwenu kwa wazazi ukasaidiwe kulea wanao?teh teh
Naombeni mnielewe mimi simaanishi kwamba wanawake wasiende shule. Shule ni muhimu tena sana kwa dunia ya leo. Mimi mwenyewe binti yangu lazima aende shule tena ntampeleka shule zenye ubora kuliko hata zile nilizosoma mimi.
Kilichonifanya mimi kuwa na mawazo hayo ni mambo ninayoyaona yakiendelea kwenye mahusiano/ndoa ambazo ni za wasomi(hasa mwanamke) jinsi gani zilivyokuwa na misuko suko kulinganisha na zile ambazo hazijengwi na wasomi(hasa mwanamke).
Kwanini ni uongo kwamba ndoa nyingi zinazovunjika ni zile ambazo zinaundwa na wasomi(hasa mwanamke)?
Ni uongo kwamba asilimia kubwa ya wanaume wanaoteswa na mahusiano yao ni wale walioa wanawake wasomi?
Ni uongo kwamba asilimia kubwa ya ndoa zinazoteswa na pepo la ubinafsi ni wasomi?
Sasa kama majibu ya hayo maswali hapo juu ni hapana, kwanini tusione kuna kasoro kubwa kwa mwanamke aliyesoma linapokuja suala la ndoa?
Sipingi watu wakuoa wasomi ila na tahadharisha tu kinachoweza kuwakuta hili wajiandae kwa lolote.
Wanawake waliosoma are good to be with but they have forgone their marriagibility for education/career.
MIMI NI MWANAUME NINA MAWAZO TOFAUTI KIDOGO...Mwanamke umebahatika kupata mwanaume wako wa ndoa,mnaishi vizuri tu,lakini kwa nini sisi wanawake tunakuwa tunawategea wanaume na huku unajua fika hali ya mmeo? Na huku tuna ingiza vipato vyetu wenyewe
Kuna mkaka nimemuonea hadi huruma
Huyu kaka ni mfanyakazi wa serikali na mke wake pia
Siku za hivi karibuni amemaliza chuo,ila gharama za chuo alikuwa anajigharamikia kwa kiasi kikubwa na kulingana na maisha ya chuo na gharama ,aliweza kukopa kwenye Benki moja hivyo kwa wastani kwa makato ya mshahara wake ,mshahara ukawa mdogo sana,na ulivyotoka wa mwezi uliopita alilipa kodi ya nyumba na nyingine kwenye shughuli za kilimo,akawa hana kitu
Na bahati nzuri mke wake anajua hali yake ya uchumi na kila kitu
Sasa leo mke wake kasafiri kwenda nyumbani kwao,na kwa vile mke wake anajua hali ya mme wake,mwanaume akafikiri mwanamke angefanya shopping ya mahitaji ya ndani kabla hajaondoka ili watoto wao watatu na mmewe wasipate shida
Lakini mwanamke hakununua mahitaji ya ndani ameondoka kwenda kwao akisema wazazi wake wamemuita kwa dharura
Mwanaume alivyojaribu kumuuliza "Mbona umetuacha bila kitu ndani?
Majibu ya mwanamke" Hivi wewe si ndo mwanaume, yaani unadiriki kuniambia jambo kama hilo,kwani mimi ndo mwanaume wa familia,wewe fanya mpango mle na wanao lakini sio kuniambia mambo ya ajabu"
Loh! Kaka wa watu mpaka nimemhurumia,
Jamani na sisi wanawake tuwe na utu,familia ni ya wote, na kama mwanaume hali si nzuri,ajibika asilimia 100,lakini si kwa roho mbaya hiyo
Hatari aiseeHalafu kama umeshagundua humu wengi ni wanafiki tu au kama sio wanafiki basi hawana ufahamu na hiyo phrase ya bible wanayopenda kuinukuu mara kwa mara.
Yaani mtu anaropoka tu eti utakula kwa jasho nitazaa kwa uchungu.
Wakati huo yeye mwenyewe hapo haishi kama mwanamke aliyeelezewa kwenye bible.. mtu anaipa kazi kipaumbele kukiko mume na familia halafu bado ana ujasiri wa kunukuu vifungu vya bible yote hiyo ni sababu tu vinaonekana kumpa fovor akivitamka mbele za watu.
πππMwanamke umebahatika kupata mwanaume wako wa ndoa,mnaishi vizuri tu,lakini kwa nini sisi wanawake tunakuwa tunawategea wanaume na huku unajua fika hali ya mmeo? Na huku tuna ingiza vipato vyetu wenyewe