Wanawake tuwe waelewa tukiwa kwenye ndoa jamani

Sidhan kama huwa wanafikiria hilo
 
Kwajinsi ulivyo elezea, nimejikuta mawazo yangu yanaamini kwamba wewe ni mchepuko wa huyo unae muita kwa jina la kaka mmoja....
[emoji23]
 
Hayo majibu hapo juu ukiwa makini unaweza kujua jibu la alie kwenye ndoa na asie kwenye ndoa...
Huwezi kujua kwa sababu kuna ndoa inakuwa imevurugika hasahasa kama mme anachepuka na mke anajua, na labda kabla ya hapo alikuwa anachangia matumizi bila shida lakini leo mme anahonga nyumba ndogo hivi mke ataendelea kutoa hela kwa moyo jamani

Acheni kutwisha Lawama wanawake kwa kisingizio kuwa wao ni wabaya na wanaweza kukosa kuolewa, niwaambie tu kadiri umri unavyoyoyoma mwanaume ndio anahitaji zaidi kuwa na mke.

Mleta mada atakuwa ni nyumba ndogo ya jamaa ndo maana kaijua story nzima wakati ni mambo ya ndani, kusimuliwa na Mchepuko wake... Shame on you
 
Wadanganye tu wenzio.
 
Nimecheka sana [emoji3][emoji23][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…