Wanawake, ukimpenda mwanaume halafu yeye hakutongozi huwa mnafanyaje?

Wanawake, ukimpenda mwanaume halafu yeye hakutongozi huwa mnafanyaje?

😂💩 wadangaji humu karibia wote wamesema mwanaume akijikausha basi na wao wanajikausha kwasabab wanaona wakimtongoza mwanaume watajishusha thaman...
Najiuliza thaman gani wakat tayar ushazalishwa upo kwenu singo maza 💩 thaman gani unashusha wakat kila weekend unakesha bar unanunuliwa flying fish ukaliwe asubuhi upewe hela ya supu 💩 thaman gani unashusha wakat unaomba vocha inbox kwa wanaume...
 
Una dhambi wewe, bora kama umejua hivyo umwambie humpendi kuliko kumkalia kimya atajiongeza tu maana mapenzi hayalazimishwi.
sasa nna dhambi gani? Atajiongeza si ni mtu mzima.
Unaemtaka hakutaki, anaekutaka humtaki yani ni tafrani tupu.
 
Mzee baba unaulizaje maswali ya kigoloko hivi...

Wanawake wakitupenda wanaume huwa wanaonesha ishara ambazo huwa ni kwa maneno au matendo...Mwanaume unapaswa kuzitambua hizo ishara...

Sio wakati wote wanaume huwa tunatongoza, kuna muda unaoneshwa green light nawe unanyoosha goti...
Kama zipi we utajuaje?
 
Back
Top Bottom