an alpha male
JF-Expert Member
- Mar 28, 2022
- 1,026
- 2,211
Kweli tena wewe jaribu kwangu uone kama nitakuchomoleaWee sema kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli tena wewe jaribu kwangu uone kama nitakuchomoleaWee sema kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23] em trokaaaah!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake wengi ambao hutongoza....wengi huwa wana sura zisizofurahisha macho niishie hapa.
Huyu labda anibake tena nikiwa nmelewa vinginevyo sitaki.Kweli sio wore ni baadhi tu, ila mkubalie mwenzio sio vizuri😅
Ndivyo nifanyavyo tajiriKama hujihisi kumuhitaji muache asije juta mbeleni.
😁😁😁 Bora ukazikwe lkn sio kimuambia... Acha uzamani huo Mcheki hata kwa sms tuNasubiri afunguke asipofunguka basi. Nina utaratibu wangu mwanaume asiponitamkia kunihitaji ni marufuku kumuanza hata iweje nakufa na tai shingoni.
Hapana, naogopa.[emoji16][emoji16][emoji16] Bora ukazikwe lkn sio kimuambia... Acha uzamani huo Mcheki hata kwa sms tu
Uko poa?Sawasawa
Nko saf za weweUko poa?
Somo la kujiamini binafsi hujafundishwa? Kwa nn uogopeAkaa! Naogopa.
[emoji23][emoji23][emoji23] nakujia PMKweli tena wewe jaribu kwangu uone kama nitakuchomolea
Mxxxxiiiiieeeew [emoji23][emoji23][emoji23]Shiondoki [emoji23]
Mwanaume hatongozwi.Somo la kujiamini binafsi hujafundishwa? Kwa nn uogope
Poa. Unakuja lini mjini?Nko saf za wewe
Mwisho wa mwezi huPoa. Unakuja lini mjini?
Ok.Mwisho wa mwezi hu
24
Ngoja kwanza niuze hiki kiwanja Cha urithi nije nikukwapue😉Mxxxxiiiiieeeew [emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya fastaa ukuje.Ngoja kwanza niuze hiki kiwanja Cha urithi nije nikukwapue[emoji6]
Au nikiache tuje tuweke kiota chetu hapaFanya fastaa ukuje.