Wanawake, ukimpenda mwanaume halafu yeye hakutongozi huwa mnafanyaje?

Wanawake, ukimpenda mwanaume halafu yeye hakutongozi huwa mnafanyaje?

Nasubiri afunguke asipofunguka basi. Nina utaratibu wangu mwanaume asiponitamkia kunihitaji ni marufuku kumuanza hata iweje nakufa na tai shingoni.
😁😁😁 Bora ukazikwe lkn sio kimuambia... Acha uzamani huo Mcheki hata kwa sms tu
 
Back
Top Bottom