Wanawake, ukimpenda mwanaume halafu yeye hakutongozi huwa mnafanyaje?

Wadada kuna ile time mkaka umemuelewa na unatamani awe boy wako ila ye hana habari na wewe mnafanyaje ili mkaka ajue kuwa unampenda?
Mi kuna mmoja alunipenda nikajua kabisa kuwa ananipenda akawa anawaambiq hadi wafanyakazi wenzake ,sasa wale wafanyakazi baadhi mmoja mmoja akawa ananiambia mi nilipojishughudia kupitia kwao nikauchuna basi siju moja akaanza kuniukiza uliza maswali ma mimi nikamjibu.hee siku akaniambia "nna ham nikachunguliane na wewe" mi nikamwambia kweli?akasema ndio tena siku nyingi sana nanumia .
Hee si kesho yake kama masihara tukaenda kuchunguliana!! Huwezi amini kwa sasa ni mke wangu na ananipenda kweli kweli.
Mpaka sasa bado nashangaaga siamini ilikuaje kuaje
 
Interested nimependa sana
 
Ukweli ni kuwa wanawake wanajua kutongosa Sana tu ila sio Directly ni indirectly.
Hawaonesh wazi wazi ..yupo boss kwenye ofisi mojà aliwahi kuwa ananiita ofisin age tuseme 33+ sasa
Anakuita Ana kukalisha kwenye kiti anakuambia subiria kuna Kazi namalizia Hapa kwenye laptop nikupatie una kaa wee, hadi karbu lisaa , watu wengne wanaingia anatatua shida zao ww, bado umekalia kiti tu ...ukitaka kuondoka ooh subiri.una haraka gani'? Nilipitia lakini... kisaikologia niliteseka maana huwezi mtongoza boss wako, pia ukitaka kuondoka hataki...watu wanaingia wanakuona umekalishwa tu kwenye kitu'.Daaah😭
.niishie 2 Hapa🙆
Mwisho ulikuwa je?
 
“Love relationship will work for long if a man loves more a woman than the woman do”

Uki-force utakuwa ukojutia
Mara kwa mara.
Mh hapana, mahusiano yadumu mwanamke ndio ampende mwanaume zaidi tofauti na hapo hayafiki mbali.
 
Wadada kuna ile time mkaka umemuelewa na unatamani awe boy wako ila ye hana habari na wewe mnafanyaje ili mkaka ajue kuwa unampenda?

Mens’ nature is to chase the thrill.

Imeandikwa: “ Enyi binti Sayuni msiyachochee mapenzi hadi yatakapoona yenyewe kufaa”

Sasa mabinti na wanawake wengi hukosea kwankuivunja hii kanuni ya Mungu.

Wengi wanawaroga wanaume wawaoe, wengine wanawaroga kuwapumbaza wawape hela n.k
 
Ndugu ukimpenda demu kuliko anavokupenda utaishia kuteseka tu, kwanza hivi viumbe havinaga huruma na mtu asiyempenda
 
Mh hapana, mahusiano yadumu mwanamke ndio ampende mwanaume zaidi tofauti na hapo hayafiki mbali.

sikujiandikia tu mimi mwenyewe au kwa mtazamo wangu bali ni kwa mujibu studies mbalimbali zilizomafanyika zinaonesha hivyo.
Of which kiuhalisia iko hivyo.
 
Nakuelewa .
Sababu ukimuanza wengine anakuona malaya,
Na wengine atakutesa mpaka ukome.
Wewe umenielewa.
Mh hapana, mahusiano yadumu mwanamke ndio ampende mwanaume zaidi tofauti na hapo hayafiki mbali.
Mimi najua mwanaume akimpenda mwanamke zaidi ndio wanaweza fika mbali na si vinginevyo.
 
Mahusiano ya kimapenzi ni mchezo wa kuuziana hisia tu. Unaeonesha uhitaji ndio atawajibika kutumia gharama/nguvu zaidi ili mahusiano yadumu. Nature ya mwanaume ni mtoaji kwaiyo akimuanza mwanamke mahusiano yatadumu lakini nature ya mwanamke ni mbinafsi akimuanza mwanaume hatoweza kuingia gharama za kudumisha hayo mahusiano na ndipo hapa wanawake wanaukwepa huu mtego hata wewe pia wasiwasi wako ni hapo kwenye trading places, unajua ukianza kumtongoza mwanaume hautaweza kumfanyia yale ambayo utataka yeye akufanyie endapo akianza kukutongoza
 
Huo ni mtazamo wako. Tukirudi kwangu sitaki na siwezi tongoza mwanaume sababu sitaki siku moja ije kuwa fimbo ya kunichapia. Wanaume wengi wana definition mbaya juu ya mwanamke anaemuanza mwanaume so haya mambo mimi sihitaji yanikute.
 
Unachokisema ndicho nilichomaanisha. mwanaume akikutongoza wewe unamchapa na fimbo mfano ku-demand matunzo maana ndie alieanza kuonesha kukuhitaji kwa maana iyo ukianza kumtongoza wewe unajua hautakua na mamlaka ya kumchapa fimbo kwa sababu wewe ndie uliemuanza, kwa sababu wewe ndio ulienza kumuhitaji basi mwenye fimbo ya kumchapa mwenzake anakua mwanaume.. yaani ni hivi anaemuanza mwenzake ndie anajiweka upande dhaifu kwenye mahusiano. Suala la mwanaume kuku-define vibaya inategemea tu na background yako
 
Back
Top Bottom