Wanawake, ukimpenda mwanaume halafu yeye hakutongozi huwa mnafanyaje?

Wanawake, ukimpenda mwanaume halafu yeye hakutongozi huwa mnafanyaje?

Hii situation ilisha nitokea mabest zangu walini fosi ni mfungukie men,

Ni kamwambia na akakubali natuna penda hadi leo miaka 7 maana toka niko form 3
Kwa hesabu za haraka haraka form 3 ulikua na umri wa miaka 17 ilikua 2017 hiyo,sasa ukijumlisha na hiyo miaka 7 yakupendana,umri wako utakua ni 24 yrs old.

😀😀
 
Back
Top Bottom