Wanawake, ukimpenda mwanaume halafu yeye hakutongozi huwa mnafanyaje?

Kuna ka dada kalikua na frem karibu na hotel nayo penda kula kakiniona tu naenda hotelini na kenyewe hako kakifika kakute nakula basi kanakuja mezani pale kanadokoa mara soda Nayo kunywa nako kanakunywa nikajua tu haka kamekwama nilichukua simu yake nikaweka no yangu ....🤣🤣kalikua kanatuma sms za mahaba acha .
 
Muendelezo mkuu.
 
Mfanano wa Genta na mimi ni kua,mtu akiingia anga zangu na kashfa au lugha chafu hua simuachi,nampokea kama alivyokuja,watu wa aina hiyo ukisema uwapotezee hua wanajiona wameshinda au wamepata mnyonge wao,sasa mimi hua napinga mbu kwa nyundo ili ajue kua amegongana na Treni la mizigo.

😀
Hata Mimi tulishawahi kugombana humu jukwaani kuna member akaingilia kati 😁😁
 
Kuna ka dada kalikua na frem karibu na hotel nayo penda kula kakiniona tu naenda hotelini na kenyewe hako kakifika kakute nakula basi kanakuja mezani pale kanadokoa mara soda Nayo kunywa nako kanakunywa nikajua tu haka kamekwama nilichukua simu yake nikaweka no yangu ....🤣🤣kalikua kanatuma sms za mahaba acha .
Ulikula?

Chakula cha hotelini
 
Back
Top Bottom