Wanawake, ukimpenda mwanaume halafu yeye hakutongozi huwa mnafanyaje?

Wanawake, ukimpenda mwanaume halafu yeye hakutongozi huwa mnafanyaje?

Ila kama kuna kimfanano kwa mbaliiii😁😁
Mfanano wa Genta na mimi ni kua,mtu akiingia anga zangu na kashfa au lugha chafu hua simuachi,nampokea kama alivyokuja,watu wa aina hiyo ukisema uwapotezee hua wanajiona wameshinda au wamepata mnyonge wao,sasa mimi hua napinga mbu kwa nyundo ili ajue kua amegongana na Treni la mizigo.

😀
 
Back
Top Bottom