Wanawake, ukimpenda mwanaume halafu yeye hakutongozi huwa mnafanyaje?

Wanawake, ukimpenda mwanaume halafu yeye hakutongozi huwa mnafanyaje?

Ila anaweza kukuwekea mitego yote ukaona kabisa huyo ananitaka..sasa tabu inakuja pale unamface anaanza kuleta tena vimaringo ili aoneshe we ndo unamtaka zaid afu yeye wa thaman haswa...mi huwa ikifika stg hyo nakula buyu najifanya kama sijawahi hata kukujua....nongwa inaanzia hapo...anaanza kukutangaza kuwa huyu kaka anaringa....kumbe yy ndo kalianzisha
 
Ntamuonesha ishara kuwa nimemuelewa na namkubali, sasa kazi kwake kujiongezaa, akini face fresh, akikausha na mie nakaukaa kauuu.

Kamwee siwezi kumtongoza mwanaume kavu kavu, najiona km najishusha thamani vilee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndomaa unanitakaga halafu husemi 😂😂😂😂
 
Ntamuonesha ishara kuwa nimemuelewa na namkubali, sasa kazi kwake kujiongezaa, akini face fresh, akikausha na mie nakaukaa kauuu.

Kamwee siwezi kumtongoza mwanaume kavu kavu, najiona km najishusha thamani vilee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usije ukajaribu. Mimi ukinitongoza nitakugonga na kulala mbele.
 
Back
Top Bottom