Wanawake, ukimpenda mwanaume halafu yeye hakutongozi huwa mnafanyaje?

😂💩 wadangaji humu karibia wote wamesema mwanaume akijikausha basi na wao wanajikausha kwasabab wanaona wakimtongoza mwanaume watajishusha thaman...
Najiuliza thaman gani wakat tayar ushazalishwa upo kwenu singo maza 💩 thaman gani unashusha wakat kila weekend unakesha bar unanunuliwa flying fish ukaliwe asubuhi upewe hela ya supu 💩 thaman gani unashusha wakat unaomba vocha inbox kwa wanaume...
 
Una dhambi wewe, bora kama umejua hivyo umwambie humpendi kuliko kumkalia kimya atajiongeza tu maana mapenzi hayalazimishwi.
sasa nna dhambi gani? Atajiongeza si ni mtu mzima.
Unaemtaka hakutaki, anaekutaka humtaki yani ni tafrani tupu.
 
Kama zipi we utajuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…