Wanawake: ukiona mwanamme anapiga mshindo zaidi ya mmoja kitandani, achana naye fasta huyo ni masikini

Flagin

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2024
Posts
410
Reaction score
540
Mwenye hela akipiga kimoja tu chalii.

Akili inawaza madeni, faida ilopatikana, biashara hii imeingiza milioni ngapi na ile ngapi

Sasa ukutane na kapuku ambaye kula yake ni ya shida, tee tee tee
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ewwww
 
Back
Top Bottom