Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Stori za mtaani ni tamu sana ukisimuliwa na mkeo.
Vijana wa kataa ndoa hapa hawatii kituoπ
Sisi sio wa mbeya ni wa mwanza mkuuWe na wife wako mtadumu sana maana wote wambea
Hahaha swala la kuchapiwa ni Issue nyingine halihusiani na kutokuoa!!Yani kwa story ya huyu Jamaa kama una akili kawapa point nyingi sana kataa ndoa! Kwa hiyo mke wa jamaa yeye ni Malaika wakati wa Mama wenzako wanatoka na Mabwana wao kwa wao na jamaa anasikiliza story mpaka Mwisho na kutuletea sisi akifikiri ni wajinga kama yeye?
Pointless au naweza kusema ulicho andika ni Mavi ya nyoka.Jifunze jambo Kijana, Kama mke yupo kwenye cycle ya watu wanaonekana ni wadini, na anajua wanayofanya ni swala la Mda tu ukiangalia kwa makini, utagundua Kuna kijana mtiifu wa Parokia anakula mke wako na anamhudumia P2 now and then, na on top of that pengine mke wako Hana uhakika mtoto wa 2 ni wako.
UJINGA MKUBWA WANAUME TUNAO;
Mke kuwa na ka kikundi ka chafu, na kuamini yeye ni malaika na ni unique hawezi kuwa mchafu, Hata kidogo, wake zetu wanafanya hayo hayo wanayofanya wenzao kwenye cycle waliopo.
Kagua vizuri huyo Mlevi pengine kapitia na shemeji yetu!
Hahaha swala la kuchapiwa ni Issue nyingine halihusiani na kutokuoa!!
Mkuu kula mwanaume anajua namna ya kuishi na mke wake na kumuongoza ubabe sana hauna afya kwenye ndoa na hausaidii.Kuoa ni muhimu sana na ni lazima, ila ukioa jaribu sana kusikiliza waliokutangualia and mostly single Wanaume, epuka sana wao kukushauri usioe, lakini jifunze tabia za wanawake kupitia machungu waliyopitia!
Mkuu kula mwanaume anajua namna ya kuishi na mke wake na kumuongoza ubabe sana hauna afya kwenye ndoa na hausaidii.
Huwa tunaambiwa mambo mengi inabidi tu usikilize wee na kisha kusema nimekuelewa na yanaishia hpo ....
Na boda boda πππILA ASILIMIA KUBWA UTAAAMBULIA CHAI NA ANALYSIS INAYOENDANA NA MIHEMUKO YAO.
STORI ZA MTAANI MTAFUTE MZEE ANAESHONA VIATU