😀 aisee wauaji ninyii aiseeSasa naelewa kwanini wanawake hua wanalia siku ya Harusi. Maana kweli haikua rahisi
26 mkuuSasa Una umri gani ?
Sitaki wajf
Yaani waharibifu sana hawaUzuri wa mada zinazolenga wanawake wasemaji wetu ndio huwa wanazijibu.
Nimetulia zangu mtu anakuja kunambia ananipenda nifanyaje sasa mkuuKaa utulie, muda wako wa kuolewa bado sana. Mambo ya mahusiano (uzinzi) sio mazuri. Wakati wa kuolewa ukifika, wa kwako atatokea na kukuoa.
Balaa zitoNoma sana
Kuna umuhimu wa kuwa na jukwaa la wanawake tu, maana hawa wanaume hadi vikao vya kike wanavamia tu.Yaani waharibifu sana hawa
😃😃😃acha yaaniKuna umuhimu wa kuwa na jukwaa la wanawake tu, maana hawa wanaume hadi vikao vya kike wanavamia tu.
😩Duh inasikitisha sana!
sasa wewe si mshangazi kabisa? ulikuwa wapi kipindi una miaka 19-20?26 mkuu