AKILI KIJIKO
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 405
- 589
nimependa hapo mwishoni. kwa watoto wa kike hata akiwa hajasoma akiwa na kalio kubwa tu level yake ya maisha ni sawa na mwanaume mwenye DegreeMimi nilishajiwekea utaratibu lazima nimzidi mama Elimu na kipato,
Mwanamke wa kileo akiwa na Ka master's degree wewe ukawa na sijui ni level gani huko chini jiandae kisaikolojia.....
Vijana wenzangu, tuhakikishe tunatafuta pesa+ Elimu pia, hawa ndugu zetu sijui wana nini......
Jana nilikuwa naongeza na kadada fulani hivi kana master's degree, kananiambia Dogo udahili unakuja ukasome nikajua hili dongo hili
Da*n