Wanawake wa Babati ni wazuri kuliko uzuri wenyewe halafu hawaringi wala

one wisow

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2019
Posts
1,303
Reaction score
1,901
Aliyesema mapenzi yamezaliwa Tanga akamatwe mara moja kwa uongo.

Mapenzi yamezaliwa Manyara (Babati) huku yaani kila mwanamke unayekutana naye unamtamani, Mama ntilie wanaouza supu wazurii yaani balaa tupu.

Mimi nkitaka kuoa ntakuja kuoa huku manyara babati ,bintis wa huku wana rangi ya uarabuni sio ya kiafrika .
 

Sio kwamba hawaringi, hawaja kujua bado
 
Picha video kusindikizia uzi vipo wapi?
✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…